Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Namshukuru Mungu huu mwaka nimeimarika zaidi kiroho kuliko miaka ya nyuma. Kwani nimeijua dini kwa usahihi na Mungu kunionyesha karama yangu. nafurah sana kumtumikia Baba wa mbinguni.

Namshukuru Mungu huu mwaka nimeweza kujinasua ktk kifungo, kifungo ambacho sikuwah kutegemea km nitatoka lkn nimetoka na ninaenjoy sana tu.

Namshkr Mungu huu mwaka umekuwa na mapito ya kila aina kilio, furaha na maumivu lkn mwisho umekuwa ni neema. Hakika umekuwa ni mwaka wenye changamoto sana.

Namuomba Mungu mwaka 2020 uwe wa neema zaidi, furaha, amani na niweze kutimiza malengo yng niliyojipangia.
 
2019 ndio mwaka nilio elimika zaidi kuliko miaka yote
 
Ajali ya ungo anga la chato
Jr[emoji769]
 
Pole sana kwa hayo yatupasa tushukuru kwa kila jambo hakika Mungu ni mwema .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana Mungu atarejesha palipovunjika 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…