andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,773
- 119,820
Mawe yalimwagika barabani,kwenye kona ghafla haya hapa, kukwepa likapiga kushoto, kilicho fuata ikawa ni nafasi ya Mungu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawe yalimwagika barabani,kwenye kona ghafla haya hapa, kukwepa likapiga kushoto, kilicho fuata ikawa ni nafasi ya Mungu tu.
Pole sanaUnanikumbusha yaliyo nitokea Kitonga 17Oct saa saba usiku. Mimi, mke na mama mkwe tungepotelea korongoni.
Mungu ni mwema [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mungu akutie nguvu.Ni mambo mengi sana, ila hili la lililopo sasa hivi nitashea labda nikishalivuka maana sasa hivi hata mtu akiniuliza tu najikuta nalia. Hapa penyewe machozi yashaanza, acha tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini JF members,
Maisha ya mwanadamu yana vipindi vya furaha na huzuni, chochote kati ya hivyo viwili kinaweza kubaki katika kumbukumbu ya maisha kutokana na kilivyomuumiza/kumfurahisha.
Huu uzi naomba tushee visa/mikasa/wonderfull moment happened in 2019.
N.B Kuna mafundisho mengi sana kwenye mapito ya binadamu mwenzako.
WELCOME 2020!
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru Mungu,nimetimiza lengo la kuanza kujitegemea(ghetto life)am happy ,ila pia nashukuru nimechezea kibuti kwa mtu niliyekua namlove love, ila freshi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
2019 ni mwaka ambao niliirudia nyeto kwa kasi kubwaa baada ya kukuta uzi fulani humu ukiisifia punyeto. Mpaka leo namlaani sana yule mtoa thread[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
2019 imekuwa rough sana kwangu binafsi na familia yangu kwa ujumla, pengine ni mwaka niliotoa machozi mengi kuliko mwaka mwingine wowote. Tumekutana na mambo makubwa ambaya hatujawahi kuyashuhudia. Lakini naamini Mungu ni mwema yatakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwaje mzee mpaka gia zikagoma kuingiaAjali ya ungo anga la chato
Jr[emoji769]
Ni mwaka ambao nimepita katika kila Aina ya vipindi.
Kiroho Ni mwaka nilioimarika Sana,MUNGU alinionyesha kipawa(karama yangu) na baada ya hapo nimepita sehemu ngumu Sana.
Ni mwaka niliopitia magumu mengi,Hadi kuna muda unafika nakata tamaa lakini bado MUNGU ananiambia nisimame.
Familia yangu imepita kwenye misukosuko Sana ila sikuchoka kuomba.
Ni mwaka ambao nimepata marafiki,
Wengine niliwaacha waende maana hawakujua umuhimu wa urafiki wangu na kujitoa kwangu,
Wengine bado nashirikiana nao katika kila Khali.
Hawa wote naomba baraka za Mungu ziwe juu yao.
Ni mwaka ambao rafiki yangu wa karibu(yumo humu) ameondokewa na Mama yake mzazi..hii Ni Jana tu.
Yote Yote kwa yote namshukuru Sana MUNGU.
Ametuagiza tushukuru kwa yote mema na mabaya.
Yeye Ni MUNGU na atabaki kuwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah kule kwetu baridi ni kali sana kwa hiyo hivi vitu Hamna [emoji39]
Pole Sana Mungu atarejesha palipovunjika 20202019 imekuwa rough sana kwangu binafsi na familia yangu kwa ujumla, pengine ni mwaka niliotoa machozi mengi kuliko mwaka mwingine wowote. Tumekutana na mambo makubwa ambaya hatujawahi kuyashuhudia. Lakini naamini Mungu ni mwema yatakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app