Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza 2019 nimewahi kufikiri nmerogwa.
-Mwaka ambao nmejitoa kwa jamii kuliko miaka yote..
-Nme experience disappointment kubwa kubwa
-Nmetoka Misri nmekwama Jangwani labda 2020 ntafika Kanaani
-Lakini namshukuru Mungu Hata kama nmekwama jangwani ,nakula, nakunywa nina afya njema mengine majaaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwaka ngoja tu uende. Aisee wacha uende.

Natumaini 2020 nitakua poa kiasi.
 
Mwaka ambao nahisi nimehonga sana [emoji2357] ila 2020 nitajitahid kurudisha kwa jamii na kusaidia wenye uhitaji wa kwel.Mungu ni bariki[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…