Kipi kati ya Shule au Dini kina uzito zaidi kwenye malezi ya watoto?

Kipi kati ya Shule au Dini kina uzito zaidi kwenye malezi ya watoto?

EveJoe

Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
26
Reaction score
53
Kati ya vitu hivi viwili, unadhani kitu gani kina uzito zaidi kwenye malezi ya watoto haswa kwa karne hii?

Mambo ni mengi mno. Kuna haya mambo ya LGBTQ, kuacha kusoma ili kufanya biashara... ili ku"trade" au kubet.... wazazi wa sasa na watarajiwa wawekeze nguvu wapi sasa?
 
Wazazi wawape malezi bora watoto wao pia wavumbue na kuendeleza vipaji vya watoto wao. Hayo mambo mengine kama lgbtq na vitu kama izo wamuachie Mungu tu coz washa-play part yao! Mtoto akizingua mbeleni uko mzazi sio wa kulaumiwa
 
Back
Top Bottom