Design Your Idea
Senior Member
- Jun 3, 2024
- 154
- 480
Karibuni
JF yenyewe ingine makubaliana ya Muda mfupi na wataalamu wa uhandisi ,ujenzi,washauri wa biashara na hata kampuni za ushauri za mambo ya intelligentsia kuanda product zinazo hitaji katika solo na zenye ubora,kuepuka gharama wabaini taasisi au mashirika mengi kwa nyakati tofauti yenye kuweza kubuni na kutoa huduma kwa weledi ikiwa ni pamoja na ushauri.Ikibidi na connection za wateja watakao ridhika na huduma Fulani zifanye na kampuni au taasisi iliyotoa ushauri ama mafunzo kwa mteja husika.Weledi uzingatiwe,ukanjanja wa kibongo ama motivational advices zisizo thibitisha na matokeo Ile marufuku kwenye majukwaa husika.Ila pia wachangiaji wa mijadala ya kawaida wabakie na Uhuru wao wa mawazo.Karibuni
AIKaribuni
Una point, ebu chukua miogo 6 ya kuchemsha hapo kwa bi kidude kwa gharama ya mfuko wako.Mbaya zaidi wataalamu wa huko nao wanakimbilia siasani, MMU na chitchat. Watu wanaona. Mchana kutwa ameshinda anapambana nayo akija humu anataka apumzishe akili