Kipi kifanyike kiinue uchangiaji katika forums za biashara, intelligence, ujenzi na tech. Zimepoa sana

Watu waache ubinafsi,watu wanaficha sana taarifa za biashara,teknolojia n.k.Tunabaniana taarifa,hauiwezekeni haya majukwaa yanashindwa na jukwaa la celebrity,umbea na lile la MMU.Au ndo tuseme mada za kula tunda ki masihara zinapendwa kuliko za maendeleo?
 
NGONO NATION ...... KEUPE DAILY .. JEZI MBAYA SLOGANS , UPENDO NKONE MONEY , ZUCHU DNA , OMMY TAX , LEVO CHIPANDO DIPLOMACY , DC HERE DC THERE
 
JF yenyewe ingine makubaliana ya Muda mfupi na wataalamu wa uhandisi ,ujenzi,washauri wa biashara na hata kampuni za ushauri za mambo ya intelligentsia kuanda product zinazo hitaji katika solo na zenye ubora,kuepuka gharama wabaini taasisi au mashirika mengi kwa nyakati tofauti yenye kuweza kubuni na kutoa huduma kwa weledi ikiwa ni pamoja na ushauri.Ikibidi na connection za wateja watakao ridhika na huduma Fulani zifanye na kampuni au taasisi iliyotoa ushauri ama mafunzo kwa mteja husika.Weledi uzingatiwe,ukanjanja wa kibongo ama motivational advices zisizo thibitisha na matokeo Ile marufuku kwenye majukwaa husika.Ila pia wachangiaji wa mijadala ya kawaida wabakie na Uhuru wao wa mawazo.
 
Mbaya zaidi wataalamu wa huko nao wanakimbilia siasani, MMU na chitchat. Watu wanaona. Mchana kutwa ameshinda anapambana nayo akija humu anataka apumzishe akili
Una point, ebu chukua miogo 6 ya kuchemsha hapo kwa bi kidude kwa gharama ya mfuko wako.
 
Hayo mawazo ni pesa, ni vigumu mjuzi kutoa maarifa yake bure. Ndio maana ata ukitaka ushauri wa kisheria/kitibabu n.k lazima ulipie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…