wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Ni kitu ambacho hakitawezekana mzee
Wakati nipo tz kuna utafiti tulifanya
Watoto wakike wanaogopa kusoma masomo ya sayansi sana
Wakati nipo tz kuna utafiti tulifanya
Watoto wakike wanaogopa kusoma masomo ya sayansi sana
... kwa level za msingi na sekondari ufanyike mkakati wa makusudi ratio ya walimu wa kike iwe kubwa kuliko wa kiume; 3:1 say. Kwa mfano, masomo ya ualimu kwa walimu wa kike serikali igharamie 100% ila wa kiume wapigwe ada kubwa kuwa-discourage kusomea ualimu wa sekondari na msingi yaani ualimu iwe kazi ya kike zaidi. Hapa utaona automatically tatizo litapungua kwa 75%.