... kwa level za msingi na sekondari ufanyike mkakati wa makusudi ratio ya walimu wa kike iwe kubwa kuliko wa kiume; 3:1 say. Kwa mfano, masomo ya ualimu kwa walimu wa kike serikali igharamie 100% ila wa kiume wapigwe ada kubwa kuwa-discourage kusomea ualimu wa sekondari na msingi yaani ualimu iwe kazi ya kike zaidi. Hapa utaona automatically tatizo litapungua kwa 75%.
Sisi jamii na wazazi tuwe 'siriaz' dhidi ya watoto wetu na waalimu wao kama tulivyo 'siriaz' dhidi ya vibaka wa mtaani.
Unakuta binti anamwambia mwalimu ananitaka mzazi anachukulia poa
Kwenye mashule kuna walimu wenye unique characters, sifa gani hizo kwa mfano?Walimu wana wakati mgumu sana bora hata hawa wa sasa watoto bado wadogo, mimi niliwahi kua mwalimu enzi zile watoto ni wakubwa, ilikua shida, shida tupu.
Asikudanganye mtu hawa watoto wana majaribu hasa ukiwa mwalimu una special au unique characters watakupa shida sana, unaweza kua unawakataa lakini vishawishi vyao ni ngumu kuviruka.
Wakati mwingi hawa watoto wanawaweka waalimu kwenye mazingira magumu ambayo kwa mwanaume ambae ni sexually active inakua ngumu asikwambie mtu.
Kupambana na hili ni kuondoa hii elimu ya mitihani, elimu iwe ni competence based na sio hii tests and exams based education.
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake! Waacheni walimu wafaudu matunda! Mbona nyie chandimu mnatafuna viti maalumu sisi hatusemi? Acheni wivuHabari wanaJF,
Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
Mzee haujawahi sikia kashifa za walimu wa kike kuwabemenda wanafunzi wa kiume?walimu wa kike wanakwama wapi?,kwanini hawazichangamkii fursa kama wenzao wa kiume
ahsante kwa mchango wakoKwanza hatua ya kwanza na ya awali kabisa yenye tija, ni kuwa Walimu wa kike wawafindishe watoto wa kike, kadhalika na Walimu wa kiume wawafundishe watoto wa kiume. Yaani kuwe na shule za wasichana peke yao ba wavulana peke yao. Kinyume na hapo, ni sawa na kupaka rangi upepo.
Ahsante.
Tuko pamoja.ahsante kwa mchango wako
mhusika anapohukumiwa familia zao zinateseka sanaMkuu ebu weka wazi uhusiano wa kutembea na mwanafunz na maisha ya ajabu ya familia
Sijakuelewa hapo mzee baba
hii ni njia nzuri ila tatizo masomo ya science wanawake wa wanayaogopa hivo itakua ngumu kupata mbadala wa masomo haya... kwa level za msingi na sekondari ufanyike mkakati wa makusudi ratio ya walimu wa kike iwe kubwa kuliko wa kiume; 3:1 say. Kwa mfano, masomo ya ualimu kwa walimu wa kike serikali igharamie 100% ila wa kiume wapigwe ada kubwa kuwa-discourage kusomea ualimu wa sekondari na msingi yaani ualimu iwe kazi ya kike zaidi. Hapa utaona automatically tatizo litapungua kwa 75%.
Nimesoma mahali huko Marekani wamefanya ufuska kwenye altare...Askofu akaamua altare hiyo ichomwe Moto..Waokoke tu.
Walimu ni sehemu tu.
Wanafunzi wanaliwa sana na jamii zote mtaani ila hazivumi.
Makundi maarufu kwa kutafuna walimu ni haya hapa.
1. Madereva bodaboda,tax,daladala
2. Askari polisi,magereza etc
3.Wauza mitumba
4..Mafundi nguo
5. Mapededjee
Du mwalimu wa kike alikuwa anataka kukukula kimasihara,ulikuwa form ngapi enzi hizoMzee haujawahi sikia kashifa za walimu wa kike kuwabemenda wanafunzi wa kiume?
Me mwenyewe ni muathirika wa udhalilishwaji huo ni shahidi, lakini kwa mwanaume ni raha halafu ni bonge la sanifu.
Kwanza nilidhani ninachukiwa na huyo mwalimu wangu!
Itwa itwa sana, tumwa tumwa sana hadi nikajihisi mkosefu dhahiri!
Cha ajabu sasa, mtu ninayechukiwa, zawadi ninazobebeshwa kwenye mkoba wangu, eti nisimwambie mtu zikawa zinanichanganya!
Nikawa ninajiuliza: 'hivi huyu mwalimu mbona ananisema vibaya na kuninanga kwa kila jambo nitendalo, sasa kwanini ananipa zawadi za kisirisiri mimi?'
Utoto kweli ni utoto tu, puzzle ndogo kama hiyo nikashndwa kuitanzua mapema kwa kichwa changu hadi nilipowekwa wazi!
Sijui via vyangu vya uzazi vilikuwa havijakomaa ama mwalimu alikuwa anatumia oral contraseptive pills!
Ee! Sasa nilishindwaje kumtia mimba mwalimu wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app