Kipi kilichowavutia yanga kumsajili mchezaji huyu huku akiwa na rekodi mbaya ya kadi nyekundu?

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Huyu ni beki aliyesajiliwa na club ya Yanga ambae usajili wake unaweza kutangazwa muda wowote.Jambo lililoshangaza wadau wengi hasa Sudan kusini anakotokea ni kipi kimewavutia Yanga kumsajili huku akiwa na rekodi ya kuwa na kadi nyingi nyekundu?
 
Babu yako Kigogo alikuwa akiweka uzi unakuwa umekamilika. Hujaandika jina lake, timu anayotoka au twende google?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…