Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Mimi sijatafutwa bado, hapa napambana kidogo nikianza kutoboa namtafuta waifu material naweka ndani.
ππ alikupiga tukio gani?Mimi sijatafutwa bado, hapa napambana kidogo nikianza kutoboa namtafuta waifu material naweka ndani.
Yote kwa Yote: Alhamdulillah angeniua yule.
Babu hatulii kabisa ana simama dede kila saaHebu lala huko, baridi kidogo tu ushadata.....
Chukua barafu weka ndani ya boxa lala.....Babu hatulii kabisa ana simama dede kila saa
Unataka isisimame tena? πChukua barafu weka ndani ya boxa lala.....
Aliniambia nikirudi nyumbani bila hela anaweka maji ya moto jikoni halafu ananimwagia mgongoni ili kesho nipate nguvu ya kupambana nisirudi home bila chochote.ππ alikupiga tukio gani?
So hujawai mtafuta?
Simpebdi nisha msahau yeye ana niganda sanaSensa ya kutafuta wapasha viporo au sio!
Kama umempenda mpende tu, kama anaendaga kwa X wake au lah achana nayo
ππ ila alikuwa ana fungua akili ykoAliniambia nikirudi nyumbani bila hela anaweka maji ya moto jikoni halafu ananimwagia mgongoni ili kesho nipate nguvu ya kupambana nisirudi home bila chochote.
Ilale tu mazima kwa maisha gani hapa hadi isimameUnataka isisimame tena? π
Ahahah maisha ya patupatu starehe yake kipochi manyoyaIlale tu mazima kwa maisha gani hapa hadi isimame
Dondokea langu basi nikudakeIla kwa kweli huu mwezi una baridi halafu kibaridi chake cha kichokozi kinakuvuta udondokee hata kwenye husiano la watu π₯Άπ₯²
ππ jitunze mkuuMm mpaka sasa sijapata mwanamke wa kuniharibia uvulana wangu π
πππ dah nimeandika hapa nikamkumbuka jamaa alirudi home patupu mida ya saa 10 jioni, kipindi hiko ameoa kama miezi mitatu nyuma.ππ ila alikuwa ana fungua akili yko
x wako akutafute