Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani tunashabihiana sana man nimeipenda kutokana na kiungo Roy Keane na Ruud van Nisterlooy hasa wakikutana Patrick Viera, vijana wa mastella niliwapendea sababu ya Santiago canizales na zenden
Chelsea apa damu damu ..napenda sana ranging ya blue aise[emoji3][emoji3][emoji3]
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Hispania niko Osasuna ..nalipenda kutokana na jina lake tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Kibongo niko Mtiba shugwa ..naikubali hii timu kwa sababu moja tu, naipenda Morogoro kinoma[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni mzee wa mastella kabisaustaje kunambia na ww unaipenda valencia cf
ndiyo mkuu.tatizo kubwa kwangu ni kupata jezi yake ..hapa imenibidi nisubiri kuagizia mtandaoni no matter what a costNi mzee wa mastella kabisa
Didier Drogba nilimuona akiwa anachezea ivory cost akanivutia kumfuatilia Chelsea, na nilipocheck shughuli yake sikutoka tena Chelsea.Drogba mimi alinifanya niipende hadi ivory cost,yaani ivory coast ikifungwa nilikuwa naumia sana kisa drogba,kwa kifupi drogba mourinho na kina frankie ndo walinipeleka blues
Nina washkaji wengi waliipenda Chelsea sababu ya mniga mwenzetu drogbanimezaliwa nimejikuta tu nipo the blues na msimbazi.