Kipi kilikupelekea uwe mnazi kwa timu yako unayoishabikia sasa?

Kipi kilikupelekea uwe mnazi kwa timu yako unayoishabikia sasa?

Mourinho na Didier Drogba walinifanya niipende Chelsea,

Mou alipohamia Inter Milan akaniambukiza kuipenda Inter,

Alipoenda Madrid nikajikuta naishabikia Madrid

kabla ya hapo niliambukizwa kuipenda simba na mzee wangu

NB: badae nilikuja kugundua yule jamaa wa kuitwa Jose Antonio Mourinho ndio alisababisha niupende mpira wa ulaya.
 
Kipindi hicho mzee simba ikifungwa hakuna amani nyumbani. Ni kama msiba yaani. Mzee anahuzunika au anakuwa na hasira balaa. Tunajikuta na sisi tumekuwa na huzuni ya ghafla. Tulijikuta tunakuwa simba by defult.

Sema tuliipenda by force by fire kabisa. Ila nilipokuja kujua mambo nikawa shabiki kwelikweli wa mnyama (Si chura lakini).
 
Nadhani tunashabihiana sana man nimeipenda kutokana na kiungo Roy Keane na Ruud van Nisterlooy hasa wakikutana Patrick Viera, vijana wa mastella niliwapendea sababu ya Santiago canizales na zenden
 
Nadhani tunashabihiana sana man nimeipenda kutokana na kiungo Roy Keane na Ruud van Nisterlooy hasa wakikutana Patrick Viera, vijana wa mastella niliwapendea sababu ya Santiago canizales na zenden

ustaje kunambia na ww unaipenda valencia cf
 
Chelsea apa damu damu ..napenda sana ranging ya blue aise[emoji3][emoji3][emoji3]

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]

Hispania niko Osasuna ..nalipenda kutokana na jina lake tu[emoji3][emoji3][emoji3]

Kibongo niko Mtiba shugwa ..naikubali hii timu kwa sababu moja tu, naipenda Morogoro kinoma[emoji3][emoji3][emoji3]
 
eti mtiba shungwa 😅😅😅😅
 
Bongo Simba...
Kipindi cha 91, 92, 93 na 94 Simba inatisha balaa. Ilikuwa inawakilisha kimataifa vizuri sana. Ndipo nilipoipendea.
England Man U. Hii nilivutiwa na watu wawili Andy Cole na Dwight York hawa jamaa ilikuwa bonge ya Combination aisee.
Spain sinaga team ila huwa kidogo Atletico de Madrid wakati Germany ni BVB acha kabisa.
 
Drogba mimi alinifanya niipende hadi ivory cost,yaani ivory coast ikifungwa nilikuwa naumia sana kisa drogba,kwa kifupi drogba mourinho na kina frankie ndo walinipeleka blues
 
Sikuwa mpenzi wa soka kabisaaa, muaivory cost legend Didier Drogba alinisajili the blues,
Messi akanisajili Barcelona baada ya kumchapa man utd fainali ya UEFA 2008,
Afu nimeskia man utd kavunja rekodi kuingia nafasi ya 13.
Miaka ya 60 ndo aliingia nafasi ya 12.
 
Drogba mimi alinifanya niipende hadi ivory cost,yaani ivory coast ikifungwa nilikuwa naumia sana kisa drogba,kwa kifupi drogba mourinho na kina frankie ndo walinipeleka blues
Didier Drogba nilimuona akiwa anachezea ivory cost akanivutia kumfuatilia Chelsea, na nilipocheck shughuli yake sikutoka tena Chelsea.
The Blues
 
Ulaya mi liverpool na sababu ilikuwa mikanda ya deki za kizamani ambapo sikumbuki nani alinunuaga pale home ila huwo mkanda ulikuwa na game za marudio kati ya liverpool vs chelsea ya kombe la fa miaka ya 94 ambapo kwenye huwo mkanda liverpool ya kina Patrick berger, Jamie Rednap, robbie fowler, David James etc walikula kichapo cha 4-2 kutoka chelsea ya kina Zola, Viali, Dan petrescu, Mark Hughes , na tangu kipindi hicho tukajikuta mimi na mabraza tunaishabikia Liverpool hadi leo sisi ni liverpool dam dam YNWA
 
dah 2007 hapo bi mkubwa alininunilia jezi ya paulo ferreira nilikua naipenda sana,Chelsea forever
 
Pierre Liquid alinifanya niipende TAIFA STARS
 
Back
Top Bottom