BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo
Kwani huwajui Wabongo kwa UNAFIKI.Tabia zake hazikupendeza kwenye jamii lakini kama alimuomba msamaha Mwenyezi Mungu kabla ya kifo chake hio ni siri kati yake na Allah kama ame msamehe au laa.
Lakini ndugu kukataa kwenda kwa maziko ya mdogo wao sababu alikuwa mseng…e sio vizuri. Wao walitakiwa wamuage na kumuombea mahfira kwa Mola. Safari ya kifo sio safari ndogo
Msiba ni suala la watu waliobaki si suala la mtu aliyefariki.Mimi sikuhudhuria msiba wa mtoto wa shangazi yangu kwa sababu alikuwa shoga wa wazi wazi. Wahenga wengi mnamjua aliitwa Auntie Kessy alikuwa maarufu sana hapa mjini Daslam nyumbani kwa wazazi wake ni Tanga.
Alipofariki ndugu zake wa kiume karibu wote hawakuhudhuria msiba .
Wazazi wake walisusa msiba wake.
Wazazi wake walisusa nyumba aliyo wajengea kwa kuhongwa na mabasha wake.
Kwako wewe sababu ilikuwa nini?
Njoo basMambo
Alizikwa na nani?!Mimi sikuhudhuria msiba wa mtoto wa shangazi yangu kwa sababu alikuwa shoga wa wazi wazi. Wahenga wengi mnamjua aliitwa Auntie Kessy alikuwa maarufu sana hapa mjini Daslam nyumbani kwa wazazi wake ni Tanga.
Alipofariki ndugu zake wa kiume karibu wote hawakuhudhuria msiba .
Wazazi wake walisusa msiba wake.
Wazazi wake walisusa nyumba aliyo wajengea kwa kuhongwa na mabasha wake.
Kwako wewe sababu ilikuwa nini?
Nina kazi si unajua xmass hii..Njoo bas
Mzee Poor BrainNina kazi si unajua xmass hii..
Nimebanwa na na wizara huku
Nimemuuliza maswali kadhaa hapo juu anazinguaMsiba ni suala la watu waliobaki si suala la mtu aliyefariki.
Ukishindwa kumzika ndugu yako kwa sababu alikuwa shoga hapo tatizo ni lako wewe uliyeshindwa kumzika ndugu yako, si la huyo ndugu yako shoga.
Huyo nsugu yako shoga hata hajui nani kamzika, kwa sababu alizikwa wakati kashafariki.
Halafu kwa mujibu wa misingi yao ya maadili dhambi ziko nyingi sana.Nimemuuliza maswali kadhaa hapo juu anazingua
Ubinadamu uhusike mengine tumuachie muhusika MWENYEWE na alichokuwa anaamini
Hata Mimi nimemwambia kuwa wapo watu wengi kwenye industry ya gaysm hapa Tz Ila wengi ni bisexualHalafu kwa mujibu wa misingi yao ya maadili dhambi ziko nyingi sana.
Kwa nini hii dhambi ya ushoga inapewa u special sana?
Angekuwa na ndugu zake tofauti, muuaji, muuza madawa ya kulevya, muongo, mzinzi, na hao nao angesusia kuwazika?
Akisusia kuzika kila ndugu yake mwenye dhambi atazika mtu kweli?
Ndiyo maana wenzetu walioendelea na kuchambua haya mambo hawasemi fulani ni gay, wanasema fulani ni "openly gay". Yani kajitambulisha kwa jamii kwamba yeye ni gay.Hata Mimi nimemwambia kuwa wapo watu wengi kwenye industry ya gaysm hapa Tz Ila wengi ni bisexual
Sasa wakiwaona Hawa kina aunt ruu na muu wanasema kichefuchefu
Of course muonekano wa kiume then ujiweke girlish Kuna namna ina sound bad,
Ila nawaapia Kuna watu na mibezi, smartness, na ishu nyingi na ni gays na ni rafiki za watu wengi sema unakuta hujui
Mimi nita mzingatia kila mtu kwa nafasi yake sina u- special wowote wa kusema ety simziki huyu, namzika huyu
Hawa ndo wanaochagua misiba ya kuzika na kwenda
Ushenzi mtupu
Binadamu tupendane tuheshimiane, na kuthaminiana...... Japo sio wote lakini at least ujaribu kwa nafasi yako
Naaam mkuu
Uko sahihi kabisa ndo nilichomuuliza unawajua watu zaidi?Ndiyo maana wenzetu walioendelea na kuchambua haya mambo hawasemi fulani ni gay, wanasema fulani ni "openly gay". Yani kajitambulisha kwa jamii kwamba yeye ni gay.
Maana yake kuna watu wengi ni gay lakini wanajificha.
Sasa hapo unaweza kujifaragua unasusia kuzika gays kumbe kila mwaka unazika gay people hujui tu.
Kwa sababu hawajajitambulisha tu.
Unatak njaa iniue braza....Naaam mkuu
Alikuwa kama mwanamkeDaaah afu alikuwa sauti la base afu kajichubua chubu kabisa alikuwa ,mitaa ya Tropicana mabawa.
Msiba ni suala la watu waliobaki si suala la mtu aliyefariki.
Ukishindwa kumzika ndugu yako kwa sababu alikuwa shoga hapo tatizo ni lako wewe uliyeshindwa kumzika ndugu yako, si la huyo ndugu yako shoga.
Huyo nsugu yako shoga hata hajui nani kamzika, kwa sababu alizikwa wakati kashafariki.