Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kuna mipango bado ijajipangilia huku 🙌🙌🙌Unatak njaa iniue braza....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mipango bado ijajipangilia huku 🙌🙌🙌Unatak njaa iniue braza....
Kama anafanya mambo yake kwa siri maana yake sio shoga. Ushoga haupo kwake upo kwenye perception zetu. Tunavyo revolt ni yeye kufanya vitendo kama hivyo hadharani na kutu embarrass ukoo mzima.Ndiyo maana wenzetu walioendelea na kuchambua haya mambo hawasemi fulani ni gay, wanasema fulani ni "openly gay". Yani kajitambulisha kwa jamii kwamba yeye ni gay.
Maana yake kuna watu wengi ni gay lakini wanajificha.
Sasa hapo unaweza kujifaragua unasusia kuzika gays kumbe kila mwaka unazika gay people hujui tu.
Kwa sababu hawajajitambulisha tu.
Kwa hio, hio nyumba anakaa nani sasa?Mimi sikuhudhuria msiba wa mtoto wa shangazi yangu kwa sababu alikuwa shoga wa wazi wazi. Wahenga wengi mnamjua aliitwa Auntie Kessy alikuwa maarufu sana hapa mjini Daslam nyumbani kwa wazazi wake ni Tanga.
Alipofariki ndugu zake wa kiume karibu wote hawakuhudhuria msiba .
Wazazi wake walisusa msiba wake.
Wazazi wake walisusa nyumba aliyo wajengea kwa kuhongwa na mabasha wake.
Kwako wewe sababu ilikuwa nini?
Tatizo unamsusia mtu ambaye hata hajui kwamba umemsusia.Sasa kama hata hajui nani amemzika tatizo lipo wapi Mimi kutoenda msibani?
Kwa hiyo shoga akifanya ushoga sirini si shoga?Kama anafanya mambo yake kwa siri maana yake sio shoga. Ushoga haupo kwake upo kwenye perception zetu. Tunavyo revolt ni yeye kufanya vitendo kama hivyo hadharani na kutu embarrass ukoo mzima.
Naelewa braza..... Mapambano yaendeleeKuna mipango bado ijajipangilia huku 🙌🙌🙌
Naamini wewe ni msomi. Sentensi yangu hata mtoto wa darasa la saba anaweza kuelewa.Kwa hiyo shoga akifanya ushoga sirini si shoga?
Huna tatizo na ushoga, una tatizo na familia yenu kuhusishwa na ushoga tu?
Simsusii gay alie kufa. Nina demonstrate my disapproval about his life. Living a openly gay life without giving a DAMN about the embarrassment that he is giving to his family membersAlijinyonga kwasababu demu wake ali chit.
🙄🙄🙄Simsusii gay alie kufa. Nina demonstrate my disapproval about his life. Living a openly gay life without giving a DAMN about the embarrassment that he is giving to his family members
🤣🤣🤣🤣Alijinyonga kwasababu demu wake ali chit.
Kutokujua mkeo katoka nje ya ndoa kunafanya mkeo awe hajatoka nje ya ndoa?Naamini wewe ni msomi. Sentensi yangu hata mtoto wa darasa la saba anaweza kuelewa.
Ngoja nikupe analogy,mkeo akiwa anatembea nje ya ndoa na wewe hujui, he ndani ya nafsi yako atakuwa ametoka nje ya ndoa au hajatoka?
Jibu ni atakuwa hajatoka kwa sababu wewe hujajua kama anataka nje ya ndoa.
Ila ukijua ametoka nje ya ndoa basi ndio anakuwa ametoka nje ya ndoa.
Nimekwambia hivi kwa sababu umezungumzia mashoga wanao fanya sirini.
Kama anafanya sirini Mimi NITAJUAJE kama ni shoga sasa ili nisiende kumzika.
Kama anafanya sirini maana yake ni kwamba sio shoga huyo kwa sababu watu hatujui
Assume magonjwa ya zinaa hayapoKutokujua mkeo katoka nje ya ndoa kunafanya mkeo awe hajatoka nje ya ndoa?
Mkeo akitoka nje ya ndoa na kuambukizwa magonjwa ya kujamiiana huko nje ya ndoa, hawezi kuja kukuambukiza ndani ya ndoa kama hujui kuwa kajamiiana nje ya ndoa?
Kwa nini unataka ni assume ukweli haupo?Assume magonjwa ya zinaa hayapo
Tangu ubalekhe ameshafanya ngono bila kinga na wanawake wangapi? Womekuambukiza Ukimwi?Kwa nini unataka ni assume ukweli haupo?
Point yako ya msingi ni kwamba kitu usichokijua hakipo.
Mimi nakwambia si kweli, kitu kama kipo lakini hukijui, hakipo kwenye mawazo yako lakini kipo tu.
Sasa kwa nini unalazimisha kisipokuwa kwenye mawazo yako kiwe hakipo kabisa?
Wengi Wanajitwika Ukamilifu Wa Kinafki Na Kutoa Hukumu Za Kinafki Kwa Kuwa Ya Kwao Ya Hovyo Yapo Gizani Hatujabahatika Tu Yashuhudia.Hata Mimi nimemwambia kuwa wapo watu wengi kwenye industry ya gaysm hapa Tz Ila wengi ni bisexual
Sasa wakiwaona Hawa kina aunt ruu na muu wanasema kichefuchefu
Of course muonekano wa kiume then ujiweke girlish Kuna namna ina sound bad,
Ila nawaapia Kuna watu na mibezi, smartness, na ishu nyingi na ni gays na ni rafiki za watu wengi sema unakuta hujui
Mimi nita mzingatia kila mtu kwa nafasi yake sina u- special wowote wa kusema ety simziki huyu, namzika huyu
Hawa ndo wanaochagua misiba ya kuzika na kwenda
Ushenzi mtupu
Binadamu tupendane tuheshimiane, na kuthaminiana...... Japo sio wote lakini at least ujaribu kwa nafasi yako
Logical non sequitur fallacy.Tangu ubalekhe ameshafanya ngono bila kinga na wanawake wangapi? Womekuambukiza Ukimwi?
Kufanya sex na mwanamke sio guarantee kwamba atakuambukiza magonjwa ya zinaa
Ni kweli mkuu Hilo lipo waziWengi Wanajitwika Ukamilifu Wa Kinafki Na Kutoa Hukumu Za Kinafki Kwa Kuwa Ya Kwao Ya Hovyo Yapo Gizani Hatujabahatika Tu Yashuhudia.