Kipi kilisababisha usihudhurie kwenye msiba wa ndugu yako wa damu?

Kwani huwajui Wabongo kwa UNAFIKI.
wao hujihesabia haki na utakatifu, ili hali ni wadhambi kuliko hata hao Mashoga.

Lol
 
Msiba ni suala la watu waliobaki si suala la mtu aliyefariki.

Ukishindwa kumzika ndugu yako kwa sababu alikuwa shoga hapo tatizo ni lako wewe uliyeshindwa kumzika ndugu yako, si la huyo ndugu yako shoga.

Huyo nsugu yako shoga hata hajui nani kamzika, kwa sababu alizikwa wakati kashafariki.
 
Alizikwa na nani?!
 
Nimemuuliza maswali kadhaa hapo juu anazingua

Ubinadamu uhusike mengine tumuachie muhusika MWENYEWE na alichokuwa anaamini
 
Anti kessy miaka ya 90 nilikuwa namuona maeneo ya sayansi kijitonyama akivuka Barbara ya bagamoyo uku akijitingisha vitako vyake
 
Nimemuuliza maswali kadhaa hapo juu anazingua

Ubinadamu uhusike mengine tumuachie muhusika MWENYEWE na alichokuwa anaamini
Halafu kwa mujibu wa misingi yao ya maadili dhambi ziko nyingi sana.

Kwa nini hii dhambi ya ushoga inapewa u special sana?

Angekuwa na ndugu zake tofauti, muuaji, muuza madawa ya kulevya, muongo, mzinzi, na hao nao angesusia kuwazika?

Akisusia kuzika kila ndugu yake mwenye dhambi atazika mtu kweli?
 
Hata Mimi nimemwambia kuwa wapo watu wengi kwenye industry ya gaysm hapa Tz Ila wengi ni bisexual

Sasa wakiwaona Hawa kina aunt ruu na muu wanasema kichefuchefu

Of course muonekano wa kiume then ujiweke girlish Kuna namna ina sound bad,

Ila nawaapia Kuna watu na mibezi, smartness, na ishu nyingi na ni gays na ni rafiki za watu wengi sema unakuta hujui

Mimi nita mzingatia kila mtu kwa nafasi yake sina u- special wowote wa kusema ety simziki huyu, namzika huyu

Hawa ndo wanaochagua misiba ya kuzika na kwenda

Ushenzi mtupu

Binadamu tupendane tuheshimiane, na kuthaminiana...... Japo sio wote lakini at least ujaribu kwa nafasi yako
 
Ndiyo maana wenzetu walioendelea na kuchambua haya mambo hawasemi fulani ni gay, wanasema fulani ni "openly gay". Yani kajitambulisha kwa jamii kwamba yeye ni gay.

Maana yake kuna watu wengi ni gay lakini wanajificha.

Sasa hapo unaweza kujifaragua unasusia kuzika gays kumbe kila mwaka unazika gay people hujui tu.

Kwa sababu hawajajitambulisha tu.
 
Uko sahihi kabisa ndo nilichomuuliza unawajua watu zaidi?

Au kwakuwa tukiwa vijiweni na humu ukisikia waganga ndo wanapinga, sijui wenye dhambi wanawasema

Kumbe yeye ni binadamu basi Mimi naona ni muongo tuu
 

Sasa kama hata hajui nani amemzika tatizo lipo wapi Mimi kutoenda msibani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…