Kipi kilisababisha usihudhurie kwenye msiba wa ndugu yako wa damu?

Kama anafanya mambo yake kwa siri maana yake sio shoga. Ushoga haupo kwake upo kwenye perception zetu. Tunavyo revolt ni yeye kufanya vitendo kama hivyo hadharani na kutu embarrass ukoo mzima.
 
Kwa hio, hio nyumba anakaa nani sasa?
 
Sasa kama hata hajui nani amemzika tatizo lipo wapi Mimi kutoenda msibani?
Tatizo unamsusia mtu ambaye hata hajui kwamba umemsusia.

Point ya kumsusia ni nini hapo?

Zaidi utawafanya gays wengine wasijitokeze, usiwajue kama ni gay, wafanye u gay wao sirini, wakifa uwazike gays bila kujua hawa gays.

Sasa hapo umetatua tatizo gani?
 
Kama anafanya mambo yake kwa siri maana yake sio shoga. Ushoga haupo kwake upo kwenye perception zetu. Tunavyo revolt ni yeye kufanya vitendo kama hivyo hadharani na kutu embarrass ukoo mzima.
Kwa hiyo shoga akifanya ushoga sirini si shoga?

Huna tatizo na ushoga, una tatizo na familia yenu kuhusishwa na ushoga tu?
 
Kuna hao viongozi flani hivi wa dini wengi Wana hizo mambo za kufukua mitaro ,nyuma ya pazia watu wanajua ni saints
 
Kwa hiyo shoga akifanya ushoga sirini si shoga?

Huna tatizo na ushoga, una tatizo na familia yenu kuhusishwa na ushoga tu?
Naamini wewe ni msomi. Sentensi yangu hata mtoto wa darasa la saba anaweza kuelewa.

Ngoja nikupe analogy,mkeo akiwa anatembea nje ya ndoa na wewe hujui, he ndani ya nafsi yako atakuwa ametoka nje ya ndoa au hajatoka?

Jibu ni atakuwa hajatoka kwa sababu wewe hujajua kama anataka nje ya ndoa.

Ila ukijua ametoka nje ya ndoa basi ndio anakuwa ametoka nje ya ndoa.

Nimekwambia hivi kwa sababu umezungumzia mashoga wanao fanya sirini.

Kama anafanya sirini Mimi NITAJUAJE kama ni shoga sasa ili nisiende kumzika.

Kama anafanya sirini maana yake ni kwamba sio shoga huyo kwa sababu watu hatujui
 
Kutokujua mkeo katoka nje ya ndoa kunafanya mkeo awe hajatoka nje ya ndoa?

Mkeo akitoka nje ya ndoa na kuambukizwa magonjwa ya kujamiiana huko nje ya ndoa, hawezi kuja kukuambukiza ndani ya ndoa kama hujui kuwa kajamiiana nje ya ndoa?
 
Assume magonjwa ya zinaa hayapo
 
Assume magonjwa ya zinaa hayapo
Kwa nini unataka ni assume ukweli haupo?

Point yako ya msingi ni kwamba kitu usichokijua hakipo.

Mimi nakwambia si kweli, kitu kama kipo lakini hukijui, hakipo kwenye mawazo yako lakini kipo tu.

Sasa kwa nini unalazimisha kisipokuwa kwenye mawazo yako kiwe hakipo kabisa?
 
Tangu ubalekhe ameshafanya ngono bila kinga na wanawake wangapi? Womekuambukiza Ukimwi?

Kufanya sex na mwanamke sio guarantee kwamba atakuambukiza magonjwa ya zinaa
 
Wengi Wanajitwika Ukamilifu Wa Kinafki Na Kutoa Hukumu Za Kinafki Kwa Kuwa Ya Kwao Ya Hovyo Yapo Gizani Hatujabahatika Tu Yashuhudia.
 
Tangu ubalekhe ameshafanya ngono bila kinga na wanawake wangapi? Womekuambukiza Ukimwi?

Kufanya sex na mwanamke sio guarantee kwamba atakuambukiza magonjwa ya zinaa
Logical non sequitur fallacy.

Suala si kwamba ukifanya ngono bika kinga ni lazima utaambukizwa UKIMWI.

Suala ni kwamba ukifanya ngono nje ya ndoa umefanya hivyo tu, mke wako akijua au asipojua hilo ni suala tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…