THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Madame wa biology aliingia class akakuta board ni chafu. Akaniambia kwa kuwa nimeshindwa ku-sort mtu afute, basi nikafute mimi. Nimeenda kufuta ubao, nikatafuta duster cleaner, nikaikosa. Naangalia kwenye ki-box cha chalk, nikakuta kitambaa fulani cheupe. Nikakichukua nikasafishia ubao.
Madame kapigisha pindi, akaenda mezani kwake, akachukua lesso yake ajifute kijasho. Kumbe kile kitambaa nilichofutia ubao ni lesso ya madame! Aiseee! Akapitisha usoni... kilichofuata hapo 😭.
Madame kapigisha pindi, akaenda mezani kwake, akachukua lesso yake ajifute kijasho. Kumbe kile kitambaa nilichofutia ubao ni lesso ya madame! Aiseee! Akapitisha usoni... kilichofuata hapo 😭.