Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
On behalf of myself siwezi kwenda baa nikanywa soda .. yaya gete!Mkuu hata wewe unaweza ukafanya observation...kuanzia mtaani mpaka kwenye mabaa..soda inayouzwa ni pepsi tu..coca wana hali mbaya sana!!
Mwanza ni peps tu sio dar peke yakePepsi wanaizidi coca cola kwa dar tuu kwingine anakungutwa tuu. Awamu zote za sikukuu kampuni ya Pepsi huwa inadorora kutoa huduma depot unakuta hamna soda kitu ambacho kinakera sana na wasipobadilika watapigwa nao tena kwa dar
Unamaanisha ni sawa na packaging ya maji ya Kilimanjaro?Pepsi ipo local sana mbali na bei ndogo na kuifanya kuwa soda ya wananchi wa hali ya chini. mi kauchunguzi kadogo nilikofanya kwenye sherehe rasmi mara chache sana kukuta Pepsi au soda jamii ya Pepsi ikiwa mbele kwenye meza ya mgeni rasmi. Hata package yake ukiichunguza kwa makini there something missing ukilinganisha na coca packages.
I stand to be corrected
Pepsi wameweka additive chemical, ndo maana watu wanaipenda sanaWadau ili halina ubishi kwamba soda inayouza sana kwa sasa hapa nchini ni Pepsi, Kumkuta mtu anakunywa Coca ni nadra sana!
Je pepsi walifanya jitihada gani kuipiku Coca cola..je ni mbinu za kawaida kibiashara au kuna hujuma ndani yake?
Unamaanisha ni sawa na packaging ya maji ya Kilimanjaro?
Daah! Kuna watu wengi huwa wanasema soda hazifai kwa sababu zina reaction na vitu vya asili ya chuma kama misumali nk. Lakini wanasahau hata maji masafi pia yana reaction, ukiumwagia maji msumali pia unapata kutu. Je utumbo wetu pia unapata kutu kwa kunywa maji. Nakubaliana na athali zingine kama gesi na kuongeza sukari lakini sio hizi za ku-react na vyumaSoko la Pepsi limeongezeka baada ya magereji kughundua kuwa inaondoa carbon haraka kwenye terminals za Betri za gari. Mzee , Pepsi ni janga la Afya yako. Wewe kwangua tu utumbo wako Kama terminal ya betri! Fainali uzeeni.
Sasa hadi akifika uzeeni si atakuwa ameishi vya kutosha?Soko la Pepsi limeongezeka baada ya magereji kughundua kuwa inaondoa carbon haraka kwenye terminals za Betri za gari. Mzee , Pepsi ni janga la Afya yako. Wewe kwangua tu utumbo wako Kama terminal ya betri! Fainali uzeeni.