Kipi kilitokea mpaka Pepsi ikaizidi kete Coca Cola!!

Kipi kilitokea mpaka Pepsi ikaizidi kete Coca Cola!!

Pepsi wanaizidi coca cola kwa dar tuu kwingine anakungutwa tuu. Awamu zote za sikukuu kampuni ya Pepsi huwa inadorora kutoa huduma depot unakuta hamna soda kitu ambacho kinakera sana na wasipobadilika watapigwa nao tena kwa dar
Mwanza ni peps tu sio dar peke yake
 
Pepsi ipo local sana mbali na bei ndogo na kuifanya kuwa soda ya wananchi wa hali ya chini. mi kauchunguzi kadogo nilikofanya kwenye sherehe rasmi mara chache sana kukuta Pepsi au soda jamii ya Pepsi ikiwa mbele kwenye meza ya mgeni rasmi. Hata package yake ukiichunguza kwa makini there something missing ukilinganisha na coca packages.
I stand to be corrected
 
Unamaanisha ni sawa na packaging ya maji ya Kilimanjaro?
 
Dah zamani nilikua nazarau sana brand ya sbc ila nw napenda mirinda nyeusi jamani khaaa.....embu ngoja nimtume mtu mana naona nime trigger appetite. Khaa ile soda
 
Ukweli ni kwamba, pespi imepunguza production pamoja na bei, Cocacola bado ndio the best, kwani production yake haijawahi kushuka. Nimepitia sehemu zote hizo mbili na bado nina uhusiano mzuri sana wa kujua masoko yao. Halafu kuifananisha Coca na pespi ni kuikosea heshima coca. Ingawa kwa sasa wote wawili coca na pepsi wanasema juice za azam, sayona, na zile za mohamed zimewapa changamoto kubwa kwenye biashara.
 
Wadau ili halina ubishi kwamba soda inayouza sana kwa sasa hapa nchini ni Pepsi, Kumkuta mtu anakunywa Coca ni nadra sana!
Je pepsi walifanya jitihada gani kuipiku Coca cola..je ni mbinu za kawaida kibiashara au kuna hujuma ndani yake?
Pepsi wameweka additive chemical, ndo maana watu wanaipenda sana
 
MI coca inanishinda migesi too much bora Pepsi aisee.haraf zamani mtu ilikuwa ukiwa mpenz wa soda flan huwez kabisa kunywa nyingine labda kishingo upande sana,ila siku hz leo unaweza kunywa Fanta kesho ukanywa Pepsi japo Fanta ipo na keshokutwa ukanywa mirinda hv ni kwann hii?au Kuna kutu walikuwa wanaweka kuleta addiction siku hz hawaweki?
 
Soko la Pepsi limeongezeka baada ya magereji kughundua kuwa inaondoa carbon haraka kwenye terminals za Betri za gari. Mzee , Pepsi ni janga la Afya yako. Wewe kwangua tu utumbo wako Kama terminal ya betri! Fainali uzeeni.
Daah! Kuna watu wengi huwa wanasema soda hazifai kwa sababu zina reaction na vitu vya asili ya chuma kama misumali nk. Lakini wanasahau hata maji masafi pia yana reaction, ukiumwagia maji msumali pia unapata kutu. Je utumbo wetu pia unapata kutu kwa kunywa maji. Nakubaliana na athali zingine kama gesi na kuongeza sukari lakini sio hizi za ku-react na vyuma
 
Soko la Pepsi limeongezeka baada ya magereji kughundua kuwa inaondoa carbon haraka kwenye terminals za Betri za gari. Mzee , Pepsi ni janga la Afya yako. Wewe kwangua tu utumbo wako Kama terminal ya betri! Fainali uzeeni.
Sasa hadi akifika uzeeni si atakuwa ameishi vya kutosha?
 
Back
Top Bottom