Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua unatania bibie..[emoji38]Raisi wetu na uongozi wake unaozidi kuleta mabadiliko na furaha kwa wageni wetu wanaokuja nchini pia.
Why now? Mbona Simba Na twiga tulikuwa nao hata zamani?
Iko simple, NI MAGUFULI.Wana jf hebu tudadavue nini kinaweza kuwa ndiyo sababu ya Fifa mwaka huu kuja Tanzania kufanyia mkutano wake.
Je, ni uongozi mzuri wa serikali ya awamu ya tano?
Je, ni kutokana na uzuri wa uongozi mpya wa TFF?
Au wamevutiwa na kitu gani hasa?