Kipi kimeivutia FIFA kuja Tanzania

Kipi kimeivutia FIFA kuja Tanzania

Ni mpango mkakati wa FIFA wenyewe na ndio goal aim ya new FIFA prezidaa
 
Wana jf hebu tudadavue nini kinaweza kuwa ndiyo sababu ya Fifa mwaka huu kuja Tanzania kufanyia mkutano wake.

Je, ni uongozi mzuri wa serikali ya awamu ya tano?

Je, ni kutokana na uzuri wa uongozi mpya wa TFF?

Au wamevutiwa na kitu gani hasa?
Iko simple, NI MAGUFULI.
 
Back
Top Bottom