Ingawaje umekosa ujasiri wa kunitaja, lakini mimi ndie nimehoji exposure yake na kuhusisha na kazi yake ya u-DC!Mkuu nakubaliana na wewe. Tuweke personal differences pembeni na tumwangalie Mwambe kama mtu mwenye uthubutu, ari na uweledi unaotakiwa kwa nafasi kama hiyo. Ninamfahamu vizuri huyu mteule wa rais. Wengi wanahoji exposure yake kwa kuangalia nafasi ya ukuu wa Wilaya ila hawasemi kuwa alifanya kazi BoT kama mchumi mwandamizi idara ya international economics kwa zaidi ya miaka kumi, alikuwa mkurugenzi wa uwekezaji Wizara ya Afrika Mashariki kwa zaidi ya miaka mitatu kipindi cha JK na baadae alielekea kwy ubunge 2015. Baada ya kura kutotosha alipewa ukuu wa Wilaya na baadae Mkurugenzi TIC. Alikuwa mkurugenzi wa bodi BoT zaidi ya miaka 3 akiwa kwenye kamati nyeti kama ya sera za uchumi (monetary policy committee) na kamati ya usimamizi wa mabenki. Pia alikuwa mkurugenzi wa bodi ya TRA. Hivi tunataka exposure gani zaidi? Anaelewa vizuri sana changamoto za uchumi na uwekezaji Tanzania. Tumpe nafasi awatumikie Watanzania
Dah!!Mkuu Chige ,huyo sukule achana naye.
Umeandika mambo ya msingi sana kuhusu exposure kwa mtu wa TIC.
G. Mwambe namfahamu kiasi. Niliwahi kumwandikia barua kuhusu vikwazo tuvipatavyo sisi wawekezaji wa ndani. Issue yenyewe ilikuwa kulazimishwa kwa wenye viwanda kuchangia shughuli fulani.
Alichojibu ni kuwa atalifanyia kazi. Juzi tena huko Mkoa wa Pwani,wenye viwanda tumeitwa tena ili ku pledge kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na madawati,kwani msimu wa masomo unakaribia kuanza huku kukiwa na upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa na madawati.
Nilipopata taarifa ya uteuzi wake,nikijumlisha na tukio la hilo la kuchangia ujenzi,nikapata jibu kuwa jamaa hakuwa na msaada kwa wawekezaji,na kuwa hata hapo wizarani hatakuwa na maajabu.
Je, jamaa ana exposure na dunia ya nje?!
Unajua kuna baadhi ya posts zinahitaji zaidi ya madgrii ya darasani na local experience bali exposure!!!
Hivi huyo Mwambwe anaweza kuinua simu na kumpigia Dangote na Dangote asiulie "Who? Mwambe??! Mwambe who? Come again?"
Anyway, nadhani nimeenda mbali sana!!! Hivi anaweza kuinua simu kumpigia hata Rostam Azizi?!
Ndo vile tu itakuwa ngumu lakini kama kuna Mtanzania anayeweza ku-fit hiyo position basi ni Mzee wa Msoga!!! Lakini ningekuwa JPM, hata watu kama Mwamvita Makamba wanaweza ku-fit compared na hao akina Mwambe!
Hawa watu wasio na exposure wanachoweza kufanya ni ku-attend Prospective Investors waliobisha hodi kwenye milango yao lakini sidhani kama wana ubavu wa kufanya "Investors Hunting" popote walipo duniani!!
JK pamoja na mapungufu yake mengi, alikuwa anafahamu sana nani akae wapi, na ndio maana akamvuta Julieth Kairuki ambae kabla ya uteuzi wake alikuwa kwenye banking sector huko South Africa na pia kuwa Project wa Private Public Partinership Capacity Building kwa nchi za SADC!
Kwa CV yake hiyo, tu tayari utaona Julieth kwenye mafaili yake alikuwa na orodha ya Wafanyabishara wa SADC ambao miongoni pengine alikuwa na uwezo wa kunyanyua simu na kuwapigia!
UPDATE:
Ukweli nilikuwa simfahamu kabisa huyo Mwambe lakini baada ya kuandika hayo hapo juu, nikalazimika kum-Google kidogo!!! Wallah JPM hayupo serious! Kumbe huyo jamaa kabla ya kuingia TIC alikuwa DC wa Manyoni?! Halafu ex-DC wa Manyoni ndie tulimpa dhamana ya kuvutia Foreign Direct Investment wakati hata akikutana na Diamond Platnumz tu lazima alikuwa anababaika!!!
Utani huu!!
Msikilize RAIS alidikeza baada ya kuwaapisha kuwa hakufanya vizuri alipokuwaTICNanukuu"
Katika kipindi chake TIC ilishutumiwa sana kuzungusha wawekezaji na kuwa na ukiritimba kwenye suala zima la uwekezaji nchini mpaka kupelekea wawekezaji wengi kukimbia na nchi kukosa pesa.
Swali linakuja unauhakika mamlaka iliyomteua haijapendezwa na hicho nilichonukuu hapo?
Ndiye mwenye ID ya johnthebaptist na nyingine ElitwegeEtwege nadhani ni mental health case. Huwa haelewi hata kinachojadiliwa. Ignore her.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujafanya utafiti wako vizuri.. kabla ya kuteuliwa kuwa DC Manyoni Mwambe alikua ofisa mwandamizi (Mkurugenzi) Benki Kuu..Je, jamaa ana exposure na dunia ya nje?!
Unajua kuna baadhi ya posts zinahitaji zaidi ya madgrii ya darasani na local experience bali exposure!!!
Hivi huyo Mwambwe anaweza kuinua simu na kumpigia Dangote na Dangote asiulie "Who? Mwambe??! Mwambe who? Come again?"
Anyway, nadhani nimeenda mbali sana!!! Hivi anaweza kuinua simu kumpigia hata Rostam Azizi?!
Ndo vile tu itakuwa ngumu lakini kama kuna Mtanzania anayeweza ku-fit hiyo position basi ni Mzee wa Msoga!!! Lakini ningekuwa JPM, hata watu kama Mwamvita Makamba wanaweza ku-fit compared na hao akina Mwambe!
Hawa watu wasio na exposure wanachoweza kufanya ni ku-attend Prospective Investors waliobisha hodi kwenye milango yao lakini sidhani kama wana ubavu wa kufanya "Investors Hunting" popote walipo duniani!!
JK pamoja na mapungufu yake mengi, alikuwa anafahamu sana nani akae wapi, na ndio maana akamvuta Julieth Kairuki ambae kabla ya uteuzi wake alikuwa kwenye banking sector huko South Africa na pia kuwa Project wa Private Public Partinership Capacity Building kwa nchi za SADC!
Kwa CV yake hiyo, tu tayari utaona Julieth kwenye mafaili yake alikuwa na orodha ya Wafanyabishara wa SADC ambao miongoni pengine alikuwa na uwezo wa kunyanyua simu na kuwapigia!
UPDATE:
Ukweli nilikuwa simfahamu kabisa huyo Mwambe lakini baada ya kuandika hayo hapo juu, nikalazimika kum-Google kidogo!!! Wallah JPM hayupo serious! Kumbe huyo jamaa kabla ya kuingia TIC alikuwa DC wa Manyoni?! Halafu ex-DC wa Manyoni ndie tulimpa dhamana ya kuvutia Foreign Direct Investment wakati hata akikutana na Diamond Platnumz tu lazima alikuwa anababaika!!!
Utani huu!!
CC: ChigeMkuu nakubaliana na wewe. Tuweke personal differences pembeni na tumwangalie Mwambe kama mtu mwenye uthubutu, ari na uweledi unaotakiwa kwa nafasi kama hiyo. Ninamfahamu vizuri huyu mteule wa rais. Wengi wanahoji exposure yake kwa kuangalia nafasi ya ukuu wa Wilaya ila hawasemi kuwa alifanya kazi BoT kama mchumi mwandamizi idara ya international economics kwa zaidi ya miaka kumi, alikuwa mkurugenzi wa uwekezaji Wizara ya Afrika Mashariki kwa zaidi ya miaka mitatu kipindi cha JK na baadae alielekea kwy ubunge 2015. Baada ya kura kutotosha alipewa ukuu wa Wilaya na baadae Mkurugenzi TIC. Alikuwa mkurugenzi wa bodi BoT zaidi ya miaka 3 akiwa kwenye kamati nyeti kama ya sera za uchumi (monetary policy committee) na kamati ya usimamizi wa mabenki. Pia alikuwa mkurugenzi wa bodi ya TRA. Hivi tunataka exposure gani zaidi? Anaelewa vizuri sana changamoto za uchumi na uwekezaji Tanzania. Tumpe nafasi awatumikie Watanzania
Bora Mwambe kuliko yule toka Mkoa wa Walima ndizi kwa wingiMkuu wangempa nani kwa CCM huyo ndo mwenye afadhali wengine waliobaki uwezo mdogo.
Fikiri et Simbachawene, Mwigulu, Muhagama Jenista hahahaha watu wa CCM wana uwezo mdg sana. angalia vyuma (wasaliti) pia wamepenya mbele ya wana ccm wa miaka nenda rudi kwa kuwa kdg wako timamu
We mzee wewe...Je, jamaa ana exposure na dunia ya nje?!
Unajua kuna baadhi ya posts zinahitaji zaidi ya madgrii ya darasani na local experience bali exposure!!!
Hivi huyo Mwambwe anaweza kuinua simu na kumpigia Dangote na Dangote asiulie "Who? Mwambe??! Mwambe who? Come again?"
Anyway, nadhani nimeenda mbali sana!!! Hivi anaweza kuinua simu kumpigia hata Rostam Azizi?!
Ndo vile tu itakuwa ngumu lakini kama kuna Mtanzania anayeweza ku-fit hiyo position basi ni Mzee wa Msoga!!! Lakini ningekuwa JPM, hata watu kama Mwamvita Makamba wanaweza ku-fit compared na hao akina Mwambe!
Hawa watu wasio na exposure wanachoweza kufanya ni ku-attend Prospective Investors waliobisha hodi kwenye milango yao lakini sidhani kama wana ubavu wa kufanya "Investors Hunting" popote walipo duniani!!
JK pamoja na mapungufu yake mengi, alikuwa anafahamu sana nani akae wapi, na ndio maana akamvuta Julieth Kairuki ambae kabla ya uteuzi wake alikuwa kwenye banking sector huko South Africa na pia kuwa Project wa Private Public Partinership Capacity Building kwa nchi za SADC!
Kwa CV yake hiyo, tu tayari utaona Julieth kwenye mafaili yake alikuwa na orodha ya Wafanyabishara wa SADC ambao miongoni pengine alikuwa na uwezo wa kunyanyua simu na kuwapigia!
UPDATE:
Ukweli nilikuwa simfahamu kabisa huyo Mwambe lakini baada ya kuandika hayo hapo juu, nikalazimika kum-Google kidogo!!! Wallah JPM hayupo serious! Kumbe huyo jamaa kabla ya kuingia TIC alikuwa DC wa Manyoni?! Halafu ex-DC wa Manyoni ndie tulimpa dhamana ya kuvutia Foreign Direct Investment wakati hata akikutana na Diamond Platnumz tu lazima alikuwa anababaika!!!
Utani huu!!
Huyu ni kitengo wa TISS kama mwendo wake upo hiviHujafanya utafiti wako vizuri.. kabla ya kuteuliwa kuwa DC Manyoni Mwambe alikua ofisa mwandamizi (Mkurugenzi) Benki Kuu..
This is very shallow analysis, kweli elimu yetu imeshuka vibaya!! Yaani mtu mzima anabeza eti DC wa Manyoni hawezi kuwa Mkurugenzi TIC? Hakuna njia nzuri katika utumishi wa umma kuliko kupitia chini. Meneja wa benki ni lazima apitie kuwa teller; Meneja wa TANESCO lazima aanze kusona mita. Mkuu wa Polisi lazima aanzie constable. Kadiri mtu anavyozidi kupanda ngazi ndiyo mambo ya umakini, uzalendo na ufuatiliaji yanaingia, nayo pia ni muhimu sana, pengine even more. Lakini kwanza anzie grassroots.Je, jamaa ana exposure na dunia ya nje?!
Unajua kuna baadhi ya posts zinahitaji zaidi ya madgrii ya darasani na local experience bali exposure!!!
Hivi huyo Mwambwe anaweza kuinua simu na kumpigia Dangote na Dangote asiulie "Who? Mwambe??! Mwambe who? Come again?"
Anyway, nadhani nimeenda mbali sana!!! Hivi anaweza kuinua simu kumpigia hata Rostam Azizi?!
Ndo vile tu itakuwa ngumu lakini kama kuna Mtanzania anayeweza ku-fit hiyo position basi ni Mzee wa Msoga!!! Lakini ningekuwa JPM, hata watu kama Mwamvita Makamba wanaweza ku-fit compared na hao akina Mwambe!
Hawa watu wasio na exposure wanachoweza kufanya ni ku-attend Prospective Investors waliobisha hodi kwenye milango yao lakini sidhani kama wana ubavu wa kufanya "Investors Hunting" popote walipo duniani!!
JK pamoja na mapungufu yake mengi, alikuwa anafahamu sana nani akae wapi, na ndio maana akamvuta Julieth Kairuki ambae kabla ya uteuzi wake alikuwa kwenye banking sector huko South Africa na pia kuwa Project wa Private Public Partinership Capacity Building kwa nchi za SADC!
Kwa CV yake hiyo, tu tayari utaona Julieth kwenye mafaili yake alikuwa na orodha ya Wafanyabishara wa SADC ambao miongoni pengine alikuwa na uwezo wa kunyanyua simu na kuwapigia!
UPDATE:
Ukweli nilikuwa simfahamu kabisa huyo Mwambe lakini baada ya kuandika hayo hapo juu, nikalazimika kum-Google kidogo!!! Wallah JPM hayupo serious! Kumbe huyo jamaa kabla ya kuingia TIC alikuwa DC wa Manyoni?! Halafu ex-DC wa Manyoni ndie tulimpa dhamana ya kuvutia Foreign Direct Investment wakati hata akikutana na Diamond Platnumz tu lazima alikuwa anababaika!!!
Utani huu!!
kufichiana siri.Wakuu amani iwe nanyi,
Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe.
Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka sana. Katika kipindi chake TIC ilishutumiwa sana kuzungusha wawekezaji na kuwa na ukiritimba kwenye suala zima la uwekezaji nchini mpaka kupelekea wawekezaji wengi kukimbia na nchi kukosa pesa.
Hali hii ilipelekea mpaka TIC kuhamishiwa ofisi ya Rais kwa kile kilichodaiwa kuipa ufanisi zaidi.
Swali langu: Ni kipi kimembeba mchumi huyu mpaka kuwa waziri ilihali huko TIC alichemka?
Mzee BOT na TRA wamekukosea nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. maana umewataja katika kila post yakoArekebishe na BOT na TRA kwenye akina masamaki wengi mno, akiweza huko hakika ataisaidia Nchi kupiga hatua kimaendeleo kwa kasi kubwa mno
Mkuu upo sahihi kabisa, kwenye wizara kama Viwanda na biashara, pia taasisi kama TIC inatakiwa iende kicorporate zaidi kuliko kwenda kiserikali, as you said bureaucracy na public institutions ni samaki na maji. Viongozi wengi wanaochaguliwa wamekulia kwenye userikali hivyo sidhani kama wana exposure ya kutosha kuendana na mahitaji ya foreign investorsIngawaje umekosa ujasiri wa kunitaja, lakini mimi ndie nimehoji exposure yake na kuhusisha na kazi yake ya u-DC!
Mosi, unachanganya madesa kati ya EXPOSURE, JOB POST na WORK EXPERIENCE!!
Exposure haiangalii umefanya kazi kwa miaka mingapi ingawaje kadri unavyofanya muda mrefuzaidi kupitia right job ndipo unapanua your exposure pool!! Kinyume chake, exposure ita-judge umefanya kazi ipi na kwa interaction ya kiwango gani with a target group!!
Kwavile hoja yangu ilijikita kwenye nafasi ya Mwambe kama Mkurugenzi wa TIC, basi target group hapo ni business community, especially from foreign world kwa sababu huko ndo tunatarajia kupata Foreign Direct Investment- FDI!!
Now tell me: Kuna interaction ipi na kwa kiwango kipi kati ya Economist anayefanya kazi kwenye International Economics Department na Business Community especially from the foreign world!! Mkurugenzi wa Bodi ya BoT as well as Mkurugenzi wa Bodi ya TRA wana interaction ipi na kwa kiwango gani with a target group as far as TIC is concerned?!
Ni matumaini yangu phrase "international economics" haitakupofusha na kudhani au kuamini kwamba hapo alikuwa ana-deal na International Business Community kwa sababu tu kuna keyword "international"!
And I repeat point yangu ya awali "...kwa interaction ya kiwango gani with a target group."
Kukuonesha umuhimu wa interaction with a target group, chukulia mfano wa Credit Manager na Branch Manager wa CRDB or any other commercial bank!!
Hapo Branch Manager ni Bosi wa Credit Manager BUT Credit Manager ana exposure kubwa na Business Community kuliko Branch Manager!!
Hawa wawili ikiwa wanaacha kazi pamoja, na kila mmoja anaenda kufungua Consultants Business Firm basi Credit Manager anaweza kufanikiwa kwa haraka zaidi kuliko Branch Manager kwa sababu huyu Credit Manager tayari ana business community members kibao aliofanya nao kazi DIRECTLY compared na huyu BM aliyekuwa tu anafanya loans approval with some little chat!!
That's what we call exposure... people with direct interaction with groups of our interests!!!
Hayo manafasi ya Ukurugenzi wa wizara gani sijui ni manafasi ya kutenegeneza sera tu hayo, na wala hayana direct interaction with outside the wordl!
But on top of that, Tanzania kama taifa inatakiwa kubadilika kwa kufahamu baadhi ya nafasi zinahitaji watu wenye uzoefu na corporate culture kwa sababu bureaucracy and public sector are brothers and cousins wherever you go, wakati kuna baadhi ya taasisi kama ni public, hizo kwa nature yake hazihitaji urasimu na ndio maana unashauriwa kuwa na watu wenye uzoefu na corporate culture!!
Mzee wa Msoga niliyemtolea mfano yeye aliliona hilo na ndio maana taratibu akaanza kuingiza corporate culture kwenye public sector hatua kwa hatua!! Hapo ndipo akamvuta Rished Bade kutoka Barclays, akamvuta Omar Issa ambae hapo kabla hajateuliwa na JK, alikuwa CEO wa Climate Facility for Africa (aiming at improving investment climate in Africa)! Aidha akamvuta Julieth Kairuki na kumweka TIC pamoja na James Mataragio aliyemteua u-DG pale TPDC!!
Tatizo la Mzee wa Msoga hakuwa mfuatiliaji... alikuwa kwenye utopia!!
That's what we call corporate culture inayotoa direct interaction na corporate world na sio hawa wakaa kwenye viti vya kuzunguka kusubiri kutengeneza sera ambazo hata hazitekelezwi!!
Diaspora wapo, yule ndejembi si amekaa nje yule?? Ila Huyu Mwambe na Dorothy Gwajima ni akili kubwa
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app