Naomba nikurudishe kwa Mbunge Lema na wawekezaji wenye PowerPoint presentations. Mara nyingi hawa ni wadandiaji, opportunists, wakazi wa Nje wanaoamini kuwa Waafrika tumelala, wewe u awaita exposure. FDI nzuri ni nzuri kwa kila mtu, lazima iwe win-win, siyo kuzidiana akili. DC wa Manyoni anajua aspects zote za uwekezaji, ni wapi Tanzania tunahitaji nini, na kitu gani tutampa muwekezaji ambacho hatokipata Mongolia. Hawo wako wa "exposure" ndiyo wale wanauuza Mlima Kilimanjaro kwa watalii wa Kenya, au wanawekeza SGR Kenya kwenda Great Lakes half as long but twice as expensive. Ni kuzidiana akili tu, wajinga ndiyo waliwao, exposure ni transient.
Ukitaka ujue nina maana gani embu tupe breakdown ya FDI 2015 ina nini na nini. Halafu cheki sheria mpya ya kutunza makanikia na free-carry, utaona kwamba you are comparing rats with pigs, havifanani. Of course kama mabeberu walizoea vya chee shambani kwa bibi, unafikiri watafurahi?
Namfahamu Juliet, she was (is) very good, yes, first class, but she'd've been 10x better had she had Waziri Geoff's credentials in her bag. Hata huyo wa Kenya (kule wanaitana Vinara) anaonekana first-class (and may be she is), but DC wa Manyoni hutomfikia kwa urahisi kwa vile unavyojua naye anvijua lakini wewe hujawa DC,
One last point na hii usisahau kabisa babangu: A GOOD FDI INVESTOR IS JUST AS EAGER TO GET A GOOD DEAL AS THE HOST COUNTRY. If the math is OK, watakuja wao wenyewe hakuna haja ya kuwapa exposure.
I will now give you a challenge, nenda katuletee FDI. In this world there is only 1 mountain Kilimanjaro, the tallest in the world. I say tallest because unaanzia huku Rundgai njia ya Sanya Juu mpaka kileleni (ukitumia Lukani Access Route). It stands freely in the world on its own. If you look for your "exposure" terms, you will be given Mount Evarist, but it is nothing but a series of small hills from Saudi Arabia through Punjab in Pakistan kupitia Afghanistan, vimepandikizwapandikizwa tu, na K2 second tallest iko pale: !akini Kilimanjaro ni moja kwa moja, General Sarakikya anapanda kila mwaka. These are facts, they don't need exposure - tutafutie FDI.
MAELEZO YAKO NI IRRELEVANT
Nimekuuliza hao unaowaita wawekezaji wa PowerPoint ina maana by default huwa wanaletwa na watu wenye exposure au ni matokeo ya utendaji mbovu?!
Jibu hilo swali, na usiniletee simulizi sijui za Lema alisema hivi mara alisema vile!!
Aidha, badala ya kuendelea kuimba usomi wa Geofrey, weka hapa statistics zake!! Unataka niwatafunie kila kitu?!
Nimewawekea hapa statistics za FDI kipindi cha Juliet, bado unataka tena eti nikutafutie with individual sectors ukitaka kujaribu kujificha eti after Julieth FDI ilikuwa ndogo kwa sababu ya kubana kwenye sekta ya madini... come on man, don't assume, weka hapa data manake mimi nilishawawekea!!
Unataka kujificha kwenye kichaka cha sekta ya madini wakati we all know FDI Boom from mining ilikuwa before 2010, and in fact, before even 2005!!
Weka hapa hizo statistics kama nilivyofanya mimi na usilete habari eti za kunipa challenge!!! Solve hiyo challenge kwa kuweka statistics!!
Halafu naona umeng'ang'ania sana hoja ya PowerPoint... man, seems you have little understanding of the modern business world!!
In a modern business, Biashara is ALL ABOUT IDEAS na sio capital!! Ni kutokana na ukweli huo ndo maana in Western Countries kuna Venture Capitalist ambao kazi yao ni ku-fund potential ideas!!
Hao unaowaita PowerPoint Investors, wanaweza wasije hata na senti 5 lakini kama ana a viable business idea, bankers wata-fund tu hizo ideas!!!
Kwamba eti "A GOOD FDI INVESTOR IS JUST AS EAGER TO GET A GOOD DEAL AS THE HOST COUNTRY. If the math is OK, watakuja wao wenyewe hakuna haja ya kuwapa exposure"
Kwa kauli yako hiyo, again, inaonesha una uelewa mdogo sana wa biashara za kimtaifa!!!
Man, ukiondoa Tanzanite, YOU HAVE NOTHING ambacho nchi zingine hawana!!!! Nchi nyingi zina mbuga za wanyama, zina mafuta na gas, zina madini, zina ardhi yenye rutuba, zina milima na mabonde, zina beach za kuvutia, and so on!!!
Ukisema eti "Watakuja tu wenyewe" then unaonesha ni namna gani ulivyo nyuma, and let me bet... YOU'RE PROBABLY A PUBLIC SERVANT!!!
Public Servants wanaishi kwenye utopia na kuamini "you've everything and those Mzungus can just come on their own" wakati dunia ya leo everywhere wana-struggle kuvutia FDI!!!
Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini pamoja na Cocacola kufahamika dunia mzima lakini hadi kesho inatumia billions kwenye promotion and advertizements? The same to Pepsi, known brand cars and vehicles, popular tourist destinations in the world, you name it!!
Pamoja na hayo bado unakuja na simulizi eti "an eager investor atakuja tu mwenyewe"!!
Ajab ya Watanzania unaweza kukuta ni kijana uliyezaliwa in 1980's or even after that lakini bado una mawazo ya zama za akina Nyerere!!!!