Kipi kimemfanya Geofrey Mwambe aliyekuwa Mkurugenzi (Director) wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuteuliwa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

Kamwangalie tena uyamjua vzr
 
Kamwangalie tena uyamjua vzr
Kipi cha ziada nitakachofahamu kutoka kwake!! The problem mnadhani tunaposema exposure basi tunaangalia nafasi za kazi alizoshika wakati kimsingi hizo nafasi ulizowahi kushika zinaku-expose wapi!

Hivi una habari Diamond Platnumz aliyefeli Form IV anaweza kukuunganisha na JPM kwa urahisi zaidi kuliko Ndugu yako mwenye PhD anayefanyia kazi pale BoT, au TRA, au TPA n.k?!

Hiyo ndo tunaita exposure!!!

Back in the days, Bashite mwenye elimu ya kuunga unga huku akiwa na cheo cha RC tu, lakini angeweza kuku-connect kwa urahisi na JPM kuliko PhD Holder Mpango ambae ni Waziri wa Fedha!!

Hiyo ndo tunaita exposure!!!

Said Fella anaweza kukuunganisha na Joseph Kusaga kwa urahisi zaidi kuliko anavyoweza kufanya Mzee wa "Kufikiria Nje ya Box" aka Kigwangala mwenye MD na Masters ya madudu gani sijui!!!

Hiyo ndo tunaita exposure!!!

Exposure isn't only where you're bali ni namna gani nafasi yako inakupa fursa ya ku-interact na target groups!!!
 
HUJUI MAANA YA MTU KUWA NA EXPOSURE, ndo maana bado umeng'ang'ania kwenye issues za elimu na uzoefu wa kazi!!!

I repeat, mtu anaweza akawa ameishia kidato cha IV tu lakini akawa na exposure kubwa kuliko wewe mwenye PhD 30 tofauti tofauti!!!
 
Sidhani kama Jiwe anaangalia ufanisi wa mtu. Anaangalia kama unaweza kua remote controlled au hapana.

Jiwe anaangalia kama unaweza kuwa kondoo au la!!! Angalia wote akina Mpango wamekubali kuwa kondoo ili wawe Mawaziri na kumuazima akili zao Jiwe!!!

Mpango anawakusanya maofisa wa TRA nchi nzima na kuwaambia kuwa waongeze makusanyo ya kodi huku akijua wafanyabiashara wanafunga biashara zao na wawekezaji wanaondoka na wengine hawataki kuja kwa sababu ya REGRESSIVE TAX REGIME!!! Huwezi kukamua tu ng'ombe na kutegemea kupata maziwa mengi wakati hao ng'ombe hawapati lishe ya kutosha!!

Usitegemee kukusanya Kodi kama watu hawana pesa mifukoni za kununua bidhaa!! Na viwanda haviwezi kuzalisha kama bidhaa zao hazinunuliwi. In your policy calculations you should look at a both demand and supply policy implications, ama sivyo you will always have shortfalls i.e you will always be out of equilibrium!!!

Once you are out of equilibrium, you will start looking for scapegoats to hide your inefficiencies na hapo ndio mnaanza kuwafukuza watendaji kwa kutofikia malengo kumbe chanzo cha matatizo ni sera zenu mbovu!!
 
HUJUI MAANA YA MTU KUWA NA EXPOSURE, ndo maana bado umeng'ang'ania kwenye issues za elimu na uzoefu wa kazi!!!

I repeat, mtu anaweza akawa ameishia kidato cha IV tu lakini akawa na exposure kubwa kuliko wewe mwenye PhD 30 tofauti tofauti!!!
Nipe mafanikio matano aliyoyafanya Kairuki pale TIC ambayo Mwambe asiye na exposure ameshindwa kuyafanya
 
Hapo unamzungumzia Mwekezaji ambae tayari yupo Tanzania wakati moja ya kazi kuu za TIC ni KU-PROMOTE Investment Opportunities nje ya mipaka ya Tanzania ili kuvutia Foreign Direct Investment!!

Btw, mtu kuwahi kuwa mfugaji kunamsaidia nini kwenye nafasi ya juu ya TIC?! Hoja ya mtu kuwa mfugaji inaweza kuwa na mantiki kama ni Mfugaji Commercial, mwenye channel hadi nje ya mipaka! Hapo utasema mtu kama huyo ana exposure na masoko ya nje as well as wafanyabiashara wanao-deal na sekta ya mifugo ndani na nje ya nchi!!

Hivi nyie watu mnafahamu kweli maana ya mtu kuwa na exposure?!
Pole sana!!! Kwahiyo huyo anatoka na hekta 10K kwa sababu alikutana na mtu mwenye exposure, au?! Btw, hoja ni presentation au hoja ni potential ya that prospective investor?!

Isitoshe, huyo unayesema was just rubbing shoulders with investors, aliacha Foreign Direct Investment in 2015 as USD 1.56 Billion kutoka USD 1.42 Billion in 2014!


Sasa hao waliozidi akili how come tena even after 5 years, bado hawajafikia hata ile USD 1.42 Billion ya mwaka 2014?!
 
Mkuu, jee wewe ni Muwekezaji?

Ukitaka kufuata sheria na kulipa kodi, investment climate in this country, it is possible the best in africa.
Ukitaka kukata kona kona na kukwepa kodi, you are in for a rude shock.

Kuna wengi ni wajanja wajanja ila wanajiita wafanyi biashara. Hichi kipindi wanataabu sana kwenye biashara.
 
As we all know, CORE FUNCTION ya TIC ni kufanya promotion ya investment opportunities, ndani na nje ya nchi, ingawaje watu wanaangalia sana nje ya nchi ili kuvutia Foreign Direct Investment!!

Aidha, tusisahau Juliet alidumu muda mfupi tu pale TIC, almost 3 years!!! Lakini kwa kipindi hicho hicho kifupi, TIC ya leo haijawahi kufikia FDI ambayo ililetwa kipindi cha uongozi wa Juliet.

Ningekuwa na muda wa kutosha, ningekutafutia data lakini paragraph hii kutoka US State Department inaweza kukupa mwanga kidogo:-
The 2019 World Investment Report indicates that FDI flows to Tanzania increased from USD 938 million in 2017 to USD 1.1 billion in 2018, although they have not recovered to pre-2015 levels.
Na hiyo pre-2015 wanayosema bado haijafikiwa, ni USD 1.56 Billion in 2015, na takwimu zinaonesha mwaka 2014 ilikuwa 1.42 Billion.
 
Hoja ya mafanikio ya Julieth Kairuki kama kielelezo cha CEO mwenye exposure, ilipojikita hoja yako
Kairuki kaacha Foreign Direct Investment kwa 2015 ikiwa USD 1.56 Billion, na mwaka 2014 ilikuwa 1.42 Billion!

Miaka 5 baadae, Tanzania HATUJAWAHI kufikia kiwango chochote kati ya hivyo viwili!

US State Department hawa hapa chini:-
The 2019 World Investment Report indicates that FDI flows to Tanzania increased from USD 938 million in 2017 to USD 1.1 billion in 2018, although they have not recovered to pre-2015 levels.
Na Tanzania Invest hawa hapa:-
 
Naomba nikurudishe kwa Mbunge Lema na wawekezaji wenye PowerPoint presentations. Mara nyingi hawa ni wadandiaji, opportunists, wakazi wa Nje wanaoamini kuwa Waafrika tumelala, wewe u awaita exposure. FDI nzuri ni nzuri kwa kila mtu, lazima iwe win-win, siyo kuzidiana akili. DC wa Manyoni anajua aspects zote za uwekezaji, ni wapi Tanzania tunahitaji nini, na kitu gani tutampa muwekezaji ambacho hatokipata Mongolia. Hawo wako wa "exposure" ndiyo wale wanauuza Mlima Kilimanjaro kwa watalii wa Kenya, au wanawekeza SGR Kenya kwenda Great Lakes half as long but twice as expensive. Ni kuzidiana akili tu, wajinga ndiyo waliwao, exposure ni transient.

Ukitaka ujue nina maana gani embu tupe breakdown ya FDI 2015 ina nini na nini. Halafu cheki sheria mpya ya kutunza makanikia na free-carry, utaona kwamba you are comparing rats with pigs, havifanani. Of course kama mabeberu walizoea vya chee shambani kwa bibi, unafikiri watafurahi?

Namfahamu Juliet, she was (is) very good, yes, first class, but she'd've been 10x better had she had Waziri Geoff's credentials in her bag. Hata huyo wa Kenya (kule wanaitana Vinara) anaonekana first-class (and may be she is), but DC wa Manyoni hutomfikia kwa urahisi kwa vile unavyojua naye anvijua lakini wewe hujawa DC,

One last point na hii usisahau kabisa babangu: A GOOD FDI INVESTOR IS JUST AS EAGER TO GET A GOOD DEAL AS THE HOST COUNTRY. If the math is OK, watakuja wao wenyewe hakuna haja ya kuwapa exposure.

I will now give you a challenge, nenda katuletee FDI. In this world there is only 1 mountain Kilimanjaro, the tallest in the world. I say tallest because unaanzia huku Rundgai njia ya Sanya Juu mpaka kileleni (ukitumia Lukani Access Route). It stands freely in the world on its own. If you look for your "exposure" terms, you will be given Mount Evarist, but it is nothing but a series of small hills from Saudi Arabia through Punjab in Pakistan kupitia Afghanistan, vimepandikizwapandikizwa tu, na K2 second tallest iko pale: !akini Kilimanjaro ni moja kwa moja, General Sarakikya anapanda kila mwaka. These are facts, they don't need exposure - tutafutie FDI.
 
MAELEZO YAKO NI IRRELEVANT

Nimekuuliza hao unaowaita wawekezaji wa PowerPoint ina maana by default huwa wanaletwa na watu wenye exposure au ni matokeo ya utendaji mbovu?!

Jibu hilo swali, na usiniletee simulizi sijui za Lema alisema hivi mara alisema vile!!

Aidha, badala ya kuendelea kuimba usomi wa Geofrey, weka hapa statistics zake!! Unataka niwatafunie kila kitu?!

Nimewawekea hapa statistics za FDI kipindi cha Juliet, bado unataka tena eti nikutafutie with individual sectors ukitaka kujaribu kujificha eti after Julieth FDI ilikuwa ndogo kwa sababu ya kubana kwenye sekta ya madini... come on man, don't assume, weka hapa data manake mimi nilishawawekea!!

Unataka kujificha kwenye kichaka cha sekta ya madini wakati we all know FDI Boom from mining ilikuwa before 2010, and in fact, before even 2005!!

Weka hapa hizo statistics kama nilivyofanya mimi na usilete habari eti za kunipa challenge!!! Solve hiyo challenge kwa kuweka statistics!!

Halafu naona umeng'ang'ania sana hoja ya PowerPoint... man, seems you have little understanding of the modern business world!!

In a modern business, Biashara is ALL ABOUT IDEAS na sio capital!! Ni kutokana na ukweli huo ndo maana in Western Countries kuna Venture Capitalist ambao kazi yao ni ku-fund potential ideas!!

Hao unaowaita PowerPoint Investors, wanaweza wasije hata na senti 5 lakini kama ana a viable business idea, bankers wata-fund tu hizo ideas!!!

Kwamba eti "A GOOD FDI INVESTOR IS JUST AS EAGER TO GET A GOOD DEAL AS THE HOST COUNTRY. If the math is OK, watakuja wao wenyewe hakuna haja ya kuwapa exposure"

Kwa kauli yako hiyo, again, inaonesha una uelewa mdogo sana wa biashara za kimtaifa!!!

Man, ukiondoa Tanzanite, YOU HAVE NOTHING ambacho nchi zingine hawana!!!! Nchi nyingi zina mbuga za wanyama, zina mafuta na gas, zina madini, zina ardhi yenye rutuba, zina milima na mabonde, zina beach za kuvutia, and so on!!!

Ukisema eti "Watakuja tu wenyewe" then unaonesha ni namna gani ulivyo nyuma, and let me bet... YOU'RE PROBABLY A PUBLIC SERVANT!!!

Public Servants wanaishi kwenye utopia na kuamini "you've everything and those Mzungus can just come on their own" wakati dunia ya leo everywhere wana-struggle kuvutia FDI!!!

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini pamoja na Cocacola kufahamika dunia mzima lakini hadi kesho inatumia billions kwenye promotion and advertizements? The same to Pepsi, known brand cars and vehicles, popular tourist destinations in the world, you name it!!

Pamoja na hayo bado unakuja na simulizi eti "an eager investor atakuja tu mwenyewe"!!

Ajab ya Watanzania unaweza kukuta ni kijana uliyezaliwa in 1980's or even after that lakini bado una mawazo ya zama za akina Nyerere!!!!
 
Mtafute Mbunge Lema atakusaidia, macho yako yamegubikwa na utando after having been exposed to too many PowerPoint presentations. Embu twenzetu Lukani tukapande Mlima Kilimanjaro, the world's tallest freestanding mountain. Kama Lema humpiti, au hutaki kuja Lukani, mtafute DC wa Ushirombo. Over and out.
 
HUNA ULIJUALO, kwanza nimegundua unaongea siasa za Lumumba!!!

Tunajadili hoja ya Mwambe na TIC, lakini from the beginning, umeng'ang'ania "Lema kasema hivi"! Huyo Lema yeye ana nafasi ipi serikalini au huko TIC?!

Au ndo yale yale ya Wana-Lumumba... hata mjadala usiowahusu viongozi wa CHADEMA but from nowhere mtaleta habari za Mbowe au Lema... what a waste!!

Again, weka hapa statistics zinazombeba Mwambe over Juliet pale TIC, or else, PIGA KIMYA!! And you're out kwa sababu UMESHINDWA kujibu hoja, and it's better that way coz' you were just wasting my time!!
 
hahahaaaaaaaaa . . . eti DC wa Manyoni yaani mpaka raha
 
Mkuu wangempa nani kwa CCM huyo ndo mwenye afadhali wengine waliobaki uwezo mdogo.
Ni kweli huyu ndiye ana afadhali maana mawaziri aina ya Simbachawene, Jenista na Mwigulu hawaingii kwa huyu dogo licha ya kuwa na exposure ndogo na big investors
 
Hili ni bonge la point na mimi naliongezea.

Hivi unaweza kumchukua Chalamila akawe GD wa PCCB eti kwa sababu tu aliwahi kuwa mkuu wa mkoa fulani ?
 
Nice remark. ONYESHA. Usije na elimu ya makaratasi apa na maneno meeeeengi afu hatuoni output.

ONYESHA.

Ni vema tuambizane kipindi Mwambe ni MD wa TIC sisi kama Tanzania tuli-achieve nini kiuwekezaji ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…