Unaweza fikiria kuwa natania lakini hii ndio hali halisi kwa sasa, wadada wamekuwa wepesi sana wa kukubali ofa za kuolewa tofauti na hapo awali
Sasa hivi kama geto kwako una kitanda, godoro, jiko gesi na henka za kutundikia nguo hukataliwi kabisa kuoa /kuwoa tena na pisi kali kinoma ambazo zamani zilitaka wenye vitambi & tubaby walker