Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
thamani ya mtoto wa kiume inaanza akiwa na miaka 25 hapo kidogo mtoto wa kiume anakuwa anaweza kujitegemea kutokana na maisha ya jamii yetu.Unaweza fikiria kuwa natania lakini hii ndio hali halisi kwa sasa, wadada wamekuwa wepesi sana wa kukubali ofa za kuolewa tofauti na hapo awali, sasa hivi kama geto kwako una kitanda, godoro, jiko gesi na henka za kutundikia nguo hukataliwi kabisa kuoa /kuwoa tena na pisi kali kinoma ambazo zamani zilitaka wenye vitambi & tubaby walker
ila mtoto wa kike thamani yangu inashuka akifikisha miaka 24 tu.
sasa lazimq wakubali kuolewa haraka sana maana wakifuka 24 wanaonekana sio dili tena na wanapoteza mvuto wao kiasi fulani na uwaathiri kisaiklojia mpaka wanaamini wana nuksi