kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Duuh! Ni kweli wananenepa, ila kuwa na tako sidhani kaka.Hahahaa raha sana kua na hawa wamama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Ni kweli wananenepa, ila kuwa na tako sidhani kaka.Hahahaa raha sana kua na hawa wamama...
Matoeo ya sensa mkuuUnaweza fikiria kuwa natania lakini hii ndio hali halisi kwa sasa, wadada wamekuwa wepesi sana wa kukubali ofa za kuolewa tofauti na hapo awali, sasa hivi kama geto kwako una kitanda, godoro, jiko gesi na henka za kutundikia nguo hukataliwi kabisa kuoa /kuwoa tena na pisi kali kinoma ambazo zamani zilitaka wenye vitambi & tubaby walker
Umelipwa sh ngapi kuja na hii kampen kubwa hivi?we ongeza tu mchepuko ila si tuache tu na maisha yetu...hatutak kuja kuyakanyaga..kama umebahataka kupata mke mweny maono na akili shukuru tu Mungu...ukiambiwa urud sokon kwa sasa kutafuta mke wa kumfika hata robo ya ulie nae hutapataNdo maana huwa tunasema
Mwanaume ndie anakosea kuoa
Ila hakuna mwanamke anaekosea kuolewa.
Wanawake wengi wana maono ya mbali.
Unaweza kujiona HunA pesa Wala Mali kwasasa, ila mpenz wako keshaona utakuja kua na pesa sana baadae.
Kwaiyo
Huamua kujitosa hivyo hivyo pesa na mali atakutana navyo mbeleni uko.
Ukishaoa ndo ushangaa pesa na mali jinsi zinavyoflow upande wako.
Ndo maana matajiri wengi ukiwauliza,
Watakwambia wamepata Sana Mali baada ya kuoa.
My Confession,
Mi mwnyw pesa ya kubadilishia mboga,ela ya bia, posho ya meza nyumban na kwa Michepuko yangu vyote nmepata baada ya kuoa.
Wito wangu,
Vijana tuoe, Ndoa Zinakuja na baraka zake[emoji4]
Ha ha ha...SAHII kabisaKwa hiyo mama J anatembelea nyota ya mwenzake, sio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣Ha ha ha...SAHII kabisa