π€£Ndoa plan B yao wakishafeli maisha
Usinipopoe, Natania bhana[emoji28][emoji1787]
Sema nini kaka, tuendelee kuoa akina mama wa nyumbani, stress ni approx. 0!Ndoa plan B yao wakishafeli maisha
Hakika kakaNdo maana huwa tunasema
Mwanaume ndie anakosea kuoa
Ila hakuna mwanamke anaekosea kuolewa.
Wanawake wengi wana maono ya mbali.
Unaweza kujiona HunA pesa Wala Mali kwasasa, ila mpenz wako keshaona utakuja kua na pesa sana baadae.
Kwaiyo
Huamua kujitosa hivyo hivyo pesa na mali atakutana navyo mbeleni uko.
Ukishaoa ndo ushangaa pesa na mali jinsi zinavyoflow upande wako.
Ndo maana matajiri wengi ukiwauliza,
Watakwambia wamepata Sana Mali baada ya kuoa.
My Confession,
Mi mwnyw pesa ya kubadilishia mboga,ela ya bia, posho ya meza nyumban na kwa Michepuko yangu vyote nmepata baada ya kuoa.
Wito wangu,
Vijana tuoe, Ndoa Zinakuja na baraka zake[emoji4]
Depal hujambo ujumbe wangu nimekutumia mbona unijibu jamani.[emoji1787]
DeepPond umenena vizuri Sana hongeraNdo maana huwa tunasema
Mwanaume ndie anakosea kuoa
Ila hakuna mwanamke anaekosea kuolewa.
Wanawake wengi wana maono ya mbali.
Unaweza kujiona HunA pesa Wala Mali kwasasa, ila mpenz wako keshaona utakuja kua na pesa sana baadae.
Kwaiyo
Huamua kujitosa hivyo hivyo pesa na mali atakutana navyo mbeleni uko.
Ukishaoa ndo ushangaa pesa na mali jinsi zinavyoflow upande wako.
Ndo maana matajiri wengi ukiwauliza,
Watakwambia wamepata Sana Mali baada ya kuoa.
My Confession,
Mi mwnyw pesa ya kubadilishia mboga,ela ya bia, posho ya meza nyumban na kwa Michepuko yangu vyote nmepata baada ya kuoa.
Wito wangu,
Vijana tuoe, Ndoa Zinakuja na baraka zake[emoji4]
Exactly,Sema nini kaka, tuendelee kuoa akina mama wa nyumbani, stress ni approx. 0!