Kipi kimewafanya wadada kuwa tayari kuolewa upesi upesi?

thamani ya mtoto wa kiume inaanza akiwa na miaka 25 hapo kidogo mtoto wa kiume anakuwa anaweza kujitegemea kutokana na maisha ya jamii yetu.

ila mtoto wa kike thamani yangu inashuka akifikisha miaka 24 tu.

sasa lazimq wakubali kuolewa haraka sana maana wakifuka 24 wanaonekana sio dili tena na wanapoteza mvuto wao kiasi fulani na uwaathiri kisaiklojia mpaka wanaamini wana nuksi
 
Mkuu umeongea ukweli wadada sasaiv asilimia kubwa wanawaza kuolewa nimeisha tongoza mademu karbia 10 wote wananiambia habari za kuoa . Mimi nazani shida kubwa ni ugumu wa maisha
Mkuu nipasie hapo pisi3 nichague mmoja
 
Acha kuchukua wanawake desperate over 30, warembo wa miaka 20-23 hawana mawazo ya kuolewa wala huwezi kuta anakuambia habari za ndoa.
 
Wanawake wanaona mbali.

1. Wanajua idadi yao ni kubwa kuliko ya wanaume. Kwa hiyo, akikosa chansi moja, anaweza asiipate tena kamwe, abaki kuwa ajuza.

2. Wanawake wana namna wanaweza "kunusa" mwanaume ambaye ana "nyota" ya kufanikiwa baadae. Kwa hiyo, hata kama wewe mvulana huna pesa ili mradi unaweza kulipia chumba na una godoro na matandiko yake, anaweza kukubali umwoe ili mradi anayegemea utafanikiwa baadae, hata kama huna kitanda cha 6×6

3. Mkiwa mnaishi wawili gharama za chakula ni ndogo kuliko kama kila mmoja anajinunulia. Hata hivyo, zile hela alizokuwa ananunulia chakula hatazitumia tena maana wewe mwanaume ndiwe utakuwa unataka.

4. Msichana akiwa anaishi peke yake anapata taabu sana ya kumpata mtu wa kumpa penzi. Lakini akiwa na wewe kama mumewe, kila akihitaji anajua hutalaza damu.

Kuna sababu nyingine lakini hizi zinatosha. Hao wanaoringa-ringa ni wadangaji tu wanaotegemea kumpata mwanaume mwenye hela
 
Version hiyo ya Ke za kuizoom future ya mwanaume siku hizi wapo wachache nina wanangu watatu tulimaliza nao chuo, walipigwa chini na mademu zao kipindi wanasota, sasa hivi wote wapo vizuri. Kila nikiwatizama mmoja naona kasahau machungu kidogo wazo la kuoa analo, ila hawa wawili, wana hasira na wanawake wanatembeze rungu kama kipepe.

Wanawake wa siku hizi, wachache sana wanaweza kuvumilia ila wengi wao hawa huwezi msoto.
 
Slay queens ndo hawawezi vumilia
 
Mama D, wapi wewe?
 
Kwa hiyo mama J anatembelea nyota ya mwenzake, sio?🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…