Kipi kimewafanya wadada kuwa tayari kuolewa upesi upesi?

Umenikumbusha demu mmoja nilimwambia nataka kumuoa basi kaleta maringo weee

Siku alivo sikia naoa kachanganiyikiwa.
Na yeye haikupita hata miezi miwili akaolewa. Sasa sijui alikuwa ana mkomoa nani mshenzi yule.

Sasa baada ya kuolewa akawa ana nitafuta kila kukicha si wife akakuta message bana. Wacha amchambe mtoto wa watu. Mpaka na leo sija mtafuta japo najua siku akiiingia kwenye18 natengua kizazi.
 
Psychology ya ndoa iko hivi
Wanawake wana type ya wanaume wao wa kuwaoa au kutoka nao.

Sasa ile rate ikiianza kushuka kwa maana wale wanaume wanavo oa wanawake wengine au kuwa busy na mambo yao.

Zile choices zina anza kupungua.

Sasa akisha ona hivo ndio anatafuta bora liende. Ndio utashangaa mbona leo kanikubalia wakati siku zote ana kataa.

Kesha ona hana maajabu.

Mfano. Kila siku asubuhi message kumi na "good morning" tena vijana wenye mipango ya mjini. As the day goes wanapungua lazima apagawe.
 
Matoeo ya sensa mkuu
 
Umelipwa sh ngapi kuja na hii kampen kubwa hivi?we ongeza tu mchepuko ila si tuache tu na maisha yetu...hatutak kuja kuyakanyaga..kama umebahataka kupata mke mweny maono na akili shukuru tu Mungu...ukiambiwa urud sokon kwa sasa kutafuta mke wa kumfika hata robo ya ulie nae hutapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…