Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
- Thread starter
- #21
Huyu jirani yangu kiukweli anajitahidi. Siku moja nitafunga safari nikapate biriani pale Morocco aisee.Mastar wabongo wanaofanya biashara kwa kujituma na mambo yanaenda
1. Esha salim buheti...huyu dada ni balaa kweye misosi
2. Shilole...nae ni mama ntilie biashara inakua
3. Jack wolper....house of bwangaz,huyu mchaga haa mchezo,
4.b dozen.....born2shine, huyu anajitahidi sana
Hizi ni biashara zakawaida zisizohitaji kiki na zinaenda fresh tu
Halafu naona aina ya biashara yake amepiga bao sana kuchagua biashara ya chakula.