DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kwa hio wamesusa kuendelea kuzitangazaIla karanga bado zipo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio wamesusa kuendelea kuzitangazaIla karanga bado zipo mkuu
Mbona hao wasanii wameshindwa kubebana wenyewe kwa wenyewe ?Bdozen kilichomfikisha hapo ni promo za clouds na kupewa support na wasanii kwa kuamini atawabeba kwenye kipindi,na yeye asingefika kokote.
Mtaa upi huo au hapo getoni kwako ?Kwenye FYN By Falsafa umebugi, inauzika mtaani kama njugu!
Aliwapelekea Ciroc sio ?Umenikumbusha p diddy aliintroduce kinywaji chake Nigeria akaishia kula za uso. Eti chupa moja anauza dola 40 halaf kinywaji chenyewe ni maji tu yenye ladha ya nazi
Jaydee water ilifia wapi
Naongezea aunt ezekiel na the luxeMastar wabongo wanaofanya biashara kwa kujituma na mambo yanaenda
1. Esha salim buheti...huyu dada ni balaa kweye misosi
2. Shilole...nae ni mama ntilie biashara inakua
3. Jack wolper....house of bwangaz,huyu mchaga haa mchezo,
4.b dozen.....born2shine, huyu anajitahidi sana
Hizi ni biashara zakawaida zisizohitaji kiki na zinaenda fresh tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha haya si unaona watu wote wanapenda kuwa "natural"yani hatupendi kabisa pafume sio nzuri kwa afya na zinaleta unene!
Mmmmmmh hahaMaisha haya si unaona watu wote wanapenda kuwa "natural"yani hatupendi kabisa pafume sio nzuri kwa afya na zinaleta unene!
Sasa malapa elfu 10 utamuuzia nani wakati mtaani buku2? Au kisa umemvaa Kidoti?[emoji3][emoji3]Hahahaha, hivi hata malapa unashindwa kuuza? Hawako serious
Hiyo si ya juzi tu mara hii ushaanza kumchawia?[emoji849]Naongezea aunt ezekiel na the luxe
Hahahaha, target mbovu, wadada aina ya Jokate ,kuvaa malapa ni wachache,Sasa malapa elfu 10 utamuuzia nani wakati mtaani buku2? Au kisa umemvaa Kidoti?[emoji3][emoji3]
Bdozen ana nafasi zaidi ya kumbeba msanii kuliko msanii kwa msaniiMbona hao wasanii wameshindwa kubebana wenyewe kwa wenyewe ?
Umeelewa ulichokiandika?Hiyo si ya juzi tu mara hii ushaanza kumchawia?[emoji849]
Kwa mtazamo mwingine ni kwamba wasanii hawapendani. Fikiria kukiwa na wasanii kadhaa wakaamua kushawishi raia kuvaa zile Tshirt za African boy,huoni kwamba kwa kiasi fulani wanaweza kumuinua bwana mdogo JuksiBdozen ana nafasi zaidi ya kumbeba msanii kuliko msanii kwa msanii
Bdozen atawapa promo, Jux atawapa nini?Kwa mtazamo mwingine ni kwamba wasanii hawapendani. Fikiria kukiwa na wasanii kadhaa wakaamua kushawishi raia kuvaa zile Tshirt za African boy,huoni kwamba kwa kiasi fulani wanaweza kumuinua bwana mdogo Juksi
Wakikaa wakaamua kusoma mazingira ya biashara zao watafanikiwa katika biashara. Wawe specific tu wanataka wateja wa aina gani watafanikiwa, kwa kua na mipango na usimamizi yakinifu.Umenikumbusha p diddy aliintroduce kinywaji chake Nigeria akaishia kula za uso. Eti chupa moja anauza dola 40 halaf kinywaji chenyewe ni maji tu yenye ladha ya nazi
Sandals - Sepenga,Kiss by wema sepetu ( lipstick n lipgloss)
Ndiyo waache kuunga juhudi kizembe madhara yake ndiyo haya......
Hivi Flaviana Matata nae hana biashara bongo kweli?
Na yule secondlady wa Kisarawe hana biashara kweli??