Kipi kimezikumba hizi biashara za hawa macelebrity

Kipi kimezikumba hizi biashara za hawa macelebrity

Umenikumbusha p diddy aliintroduce kinywaji chake Nigeria akaishia kula za uso. Eti chupa moja anauza dola 40 halaf kinywaji chenyewe ni maji tu yenye ladha ya nazi
Aliwapelekea Ciroc sio ?
 
Mastar wabongo wanaofanya biashara kwa kujituma na mambo yanaenda

1. Esha salim buheti...huyu dada ni balaa kweye misosi

2. Shilole...nae ni mama ntilie biashara inakua

3. Jack wolper....house of bwangaz,huyu mchaga haa mchezo,

4.b dozen.....born2shine, huyu anajitahidi sana

Hizi ni biashara zakawaida zisizohitaji kiki na zinaenda fresh tu
Naongezea aunt ezekiel na the luxe
 
Maisha haya si unaona watu wote wanapenda kuwa "natural"yani hatupendi kabisa pafume sio nzuri kwa afya na zinaleta unene!
Mmmmmmh haha
IMG_20190817_235806.jpeg
 
Sasa malapa elfu 10 utamuuzia nani wakati mtaani buku2? Au kisa umemvaa Kidoti?[emoji3][emoji3]
Hahahaha, target mbovu, wadada aina ya Jokate ,kuvaa malapa ni wachache,

Apunguze bei kisha awalenge watu wa hali ya chini, azimwage mtaani km yebo yebo zile
 
Bdozen ana nafasi zaidi ya kumbeba msanii kuliko msanii kwa msanii
Kwa mtazamo mwingine ni kwamba wasanii hawapendani. Fikiria kukiwa na wasanii kadhaa wakaamua kushawishi raia kuvaa zile Tshirt za African boy,huoni kwamba kwa kiasi fulani wanaweza kumuinua bwana mdogo Juksi
 
Bdozen atawapa promo, Jux atawapa nini?
 
Umenikumbusha p diddy aliintroduce kinywaji chake Nigeria akaishia kula za uso. Eti chupa moja anauza dola 40 halaf kinywaji chenyewe ni maji tu yenye ladha ya nazi
Wakikaa wakaamua kusoma mazingira ya biashara zao watafanikiwa katika biashara. Wawe specific tu wanataka wateja wa aina gani watafanikiwa, kwa kua na mipango na usimamizi yakinifu.
 
Ndiyo waache kuunga juhudi kizembe madhara yake ndiyo haya......

Hivi Flaviana Matata nae hana biashara bongo kweli?

Na yule secondlady wa Kisarawe hana biashara kweli??

Flaviana anarangi za kucha aliambulisha sijui biashara inaendelea au vip,huyo wa kisarawe alikuwa na mambo mengi mabegi ya shule, kidot hair sijui mambo yakoje
 
Back
Top Bottom