Kipi kimezikumba hizi biashara za hawa macelebrity

Huyu jirani yangu kiukweli anajitahidi. Siku moja nitafunga safari nikapate biriani pale Morocco aisee.
Halafu naona aina ya biashara yake amepiga bao sana kuchagua biashara ya chakula.
 
Bila kumsahau Juksi
 
Lakini kitu kama kinalipa kweli mtu anashindwa vipi kukiendeleza?
sabab sio wafanaya biashara!!
wanatumika tuu (fame)

hawana cha kupoteza as long as pesa yake imezaa

but ni kutofaham misingi ya biashara kubwa af iwe mfumo wa retailers
but wanaweza kuifanya vizuri mtu aktafuta kampuni ya usimamizi wa biashara atatoboa tuu
au wapambane na aina nyingine ya biashara isioitaji mambo mengi kama izo media houses "real estate na nk
sjui you have my point?
 
Wanakoseaga kuzitambulisha biashara kuwa ni zao.
Hawana ukubwa huo wasiwaige wakina didy wenzao wana mashabiki wengi duniani na wamefocus kwenye biashara
Hapa bongo haters wengi kuliko mashabiki inategemea nini?
mimi Yanga nanunuaje bidhaa za haji manara[emoji1787],Simpendi diamond nanunuaje chibu perfume

Bei kubwa - ukizingatia mashabiki wengi ni waTz wa hali ya kawaida hio 150k ya kununua perfume wanaitoa wapi?
Ubora mbovu
management mbovu - biashara haina usimamizi wa maana/ sio wabunifu
Biashara nacho kipaji jamani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]yule mwingine akasema naidhamini timu kwa mil40 kupitia kinywaji changu. mwisho wa siku akageuka mcheza mpira wa hiyo timu.

Ama kweli biashara sio kwa kila mtu.
 
Hahahaha, wakati angewaambia wakienda uwanjani,wapige vipensi vyao ,jezi na unyunyu wa Della boss
 
Hivi haji alishindwa kutumia ile idadi ya mashabiki wa Simba kuingia uwanjani kuwauzia, perfume wanukie huku wanashangilia ushindi

'Bila kunukishana jasho'
 
Tatizo wanasahau biashara ni kipaji, kuendesha biashara na ikadumu si kazi rahisi hasa hizo bidhaa wanazozalisha, nadhani wangekuwa wanatoa mitaji kwa watu wao wabaki na % zao kwa lugha rahisi kuwekeza kwa mfumo wa hisa
 
Matarajio ya return kubwa mapema ndio chanzo.
Wangekuwa wawekezaji wenye mipango, kila kitu kingekaa sawa
 
Unaingia biashara ya perfume kushindana na brand zipi? Labda kama soko liko kwa Tandala kwa Mtogole au Manzese
 
Marketing strategy....supply chain..... hapo kuna utata
 
Hivi haji alishindwa kutumia ile idadi ya mashabiki wa Simba kuingia uwanjani kuwauzia, perfume wanukie huku wanashangilia ushindi
'Bila kunukishana jasho'
Mo Pamoja na kuimiliki Simba uwezi kumkuta akiongelea vibaya Yanga ana jijua yeye ni mfanya biashara watu wana weza kumsusia biashara zake..Sasa huyu ndugu yetu ye hajui..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…