Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
sahihi kabisa mkuu.Tatizo wana tegemea jina mtu kama Manara ana watukana wana Yanga juzi ana sema Zesco wasije na washangiliaji wao wapo utegemee mwana yanga anunue manukato yake hawajui biashara nini mdomo una weza kuathili biashara usipo uchunga..Pia biashara ina itaji mbinu na plan usitegemee jina
Hahahaha, anaweka ushabiki mbele na unazi anasahau Biashara yakeMo Pamoja na kuimiliki Simba uwezi kumkuta akiongelea vibaya Yanga ana jijua yeye ni mfanya biashara watu wana weza kumsusia biashara zake..Sasa huyu ndugu yetu ye hajui..
Umesema huyo aliyemchagua Manara kupromote bidhaa yake ndiye mwenye matatizo......Manara na perfume wapi na wapi?!!!Tatizo wana tegemea jina mtu kama Manara ana watukana wana Yanga juzi ana sema Zesco wasije na washangiliaji wao wapo utegemee mwana yanga anunue manukato yake hawajui biashara nini mdomo una weza kuathili biashara usipo uchunga..Pia biashara ina itaji mbinu na plan usitegemee jina
Lawama zote kwa JohnDellaboss perfume ya Hajji manara hii aliizindua kwa mbwembwe zote huyu msemaji wetu wana msimbazi. Lakini sasa kimyaa hata mwaka haijamaliza.
Mofaya ya Alikiba, hii ni kama sijui kufata mkumbo maana tangu aizindue sikuwahi kukutana nayo kokote.([emoji3]sijui ndio kusema hapendi show off)
Chibu perfume ya Diamond. Hii nayo sioni chochote kikiendelea. Ila walio wahi kuitumia wanasema ni ya kawaida sana na bei ni kubwa mno(bei haiendani na bidhaa ni kama alikuwa anauzia jina)
Fynebyfalsafa ya Hamisi Mwijuma (mwana F.A), hii nayo naona kama haina maisha marefu maana hata promotion imepungua sana.
Mnaweza kuongezea biashara zingine za hawa ndugu zetu zilizokufa kifo cha mende.
Je, huwa wanakwama wapi labda?
Flavia ana Rangi zake mbona kitamboNdiyo waache kuunga juhudi kizembe madhara yake ndiyo haya......
Hivi Flaviana Matata nae hana biashara bongo kweli?
Na yule secondlady wa Kisarawe hana biashara kweli??
wanatakatisha pesaWanasemaga funika kombe mwanaharamu apite.
Wakubwa mnaelewa hizi biashara na madhumuni yake.
Hakuna cha strategy,marketing wala nini?!
Fungueni macho wandugu.
Ndiyo waache kuunga juhudi kizembe madhara yake ndiyo haya......
Hivi Flaviana Matata nae hana biashara bongo kweli?
Na yule secondlady wa Kisarawe hana biashara kweli??
twambombo bhaaabaa!!Binafsi nimewahi onja mofaya kyela mbeya.. kwakweli zilikua nzuri... Cha kushangaa sehemu zingine kote sizioni..
alicheza hata mechi ya kujipima nguvu???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]yule mwingine akasema naidhamini timu kwa mil40 kupitia kinywaji changu. mwisho wa siku akageuka mcheza mpira wa hiyo timu.
Ama kweli biashara sio kwa kila mtu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maisha haya si unaona watu wote wanapenda kuwa "natural"yani hatupendi kabisa pafume sio nzuri kwa afya na zinaleta unene!
alikiba mo faya anaziuza kwa mastar tu masikini hamuwezi kuuziwaDellaboss perfume ya Hajji manara hii aliizindua kwa mbwembwe zote huyu msemaji wetu wana msimbazi. Lakini sasa kimyaa hata mwaka haijamaliza.
Mofaya ya Alikiba, hii ni kama sijui kufata mkumbo maana tangu aizindue sikuwahi kukutana nayo kokote.([emoji3]sijui ndio kusema hapendi show off)
Chibu perfume ya Diamond. Hii nayo sioni chochote kikiendelea. Ila walio wahi kuitumia wanasema ni ya kawaida sana na bei ni kubwa mno(bei haiendani na bidhaa ni kama alikuwa anauzia jina)
Fynebyfalsafa ya Hamisi Mwijuma (mwana F.A), hii nayo naona kama haina maisha marefu maana hata promotion imepungua sana.
Mnaweza kuongezea biashara zingine za hawa ndugu zetu zilizokufa kifo cha mende.
Je, huwa wanakwama wapi labda?
Sijakuchoka baby. Mimi na wewe milele na milele hadi CCM itutenganishe.Duh kweli umenichoka
Ila karanga bado zipo mkuuDellaboss perfume ya Hajji manara hii aliizindua kwa mbwembwe zote huyu msemaji wetu wana msimbazi. Lakini sasa kimyaa hata mwaka haijamaliza.
Mofaya ya Alikiba, hii ni kama sijui kufata mkumbo maana tangu aizindue sikuwahi kukutana nayo kokote.([emoji3]sijui ndio kusema hapendi show off)
Chibu perfume ya Diamond. Hii nayo sioni chochote kikiendelea. Ila walio wahi kuitumia wanasema ni ya kawaida sana na bei ni kubwa mno(bei haiendani na bidhaa ni kama alikuwa anauzia jina)
Fynebyfalsafa ya Hamisi Mwijuma (mwana F.A), hii nayo naona kama haina maisha marefu maana hata promotion imepungua sana.
Mnaweza kuongezea biashara zingine za hawa ndugu zetu zilizokufa kifo cha mende.
Je, huwa wanakwama wapi labda?
Bdozen kilichomfikisha hapo ni promo za clouds na kupewa support na wasanii kwa kuamini atawabeba kwenye kipindi,na yeye asingefika kokote.Mastar wabongo wanaofanya biashara kwa kujituma na mambo yanaenda
1. Esha salim buheti...huyu dada ni balaa kweye misosi
2. Shilole...nae ni mama ntilie biashara inakua
3. Jack wolper....house of bwangaz,huyu mchaga haa mchezo,
4.b dozen.....born2shine, huyu anajitahidi sana
Hizi ni biashara zakawaida zisizohitaji kiki na zinaenda fresh tu
Diamond mbona ujamuweka au mpaka uwone physical product business na Jux yupo wapi, Diamond ndio mfanyabiashara wakwanza kwa wasanii WCB, Wasafi TV fanya research kwenye hizo kampuni.Mastar wabongo wanaofanya biashara kwa kujituma na mambo yanaenda
1. Esha salim buheti...huyu dada ni balaa kweye misosi
2. Shilole...nae ni mama ntilie biashara inakua
3. Jack wolper....house of bwangaz,huyu mchaga haa mchezo,
4.b dozen.....born2shine, huyu anajitahidi sana
Hizi ni biashara zakawaida zisizohitaji kiki na zinaenda fresh tu
Kuwa mbunifu jifunze uganga utatokaHuyu msukuma kajua kutukomesha sio kwa wasanii tu hao huki mtaani watu tumeshafanya biashara aina kama zote yani na zote ni hola