Anti-Corona
Member
- Mar 19, 2020
- 9
- 8
Habari wanajamvi,
kuna Nafasi takribani 18 zilitangazwa na UTUMISHI za mamlaka ya mapato TRA katikati ya mwezi wa pili mpaka sasa ni kama mwezi mmoja na wiki moja kuna hali ya ukimyaa ambapo sio kawaida ikachukua muda mrefu kiasi hiki bila watu angarau kuwa shortlist.
Swali langu la msingi je hizi ajira bado zipo watu wataja itwa au zimefutwa?