Kipi kinakufanya ujihisi siku yako imekamilika au haijakamillika?

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Kila binadamu apa duniani ana kitu au jambo ambalo akilifanya, akilipata ama kulifikia basi anajihisi na kuona kuwa siku yake imekamilika.

Na kila binadamu, mwanadamu ana jambo ama kitu ambacho akikikosa ama kutokukifanya au kutokukifikia basi moja kwa moja hujihisi kuwa siku yake haijakamilika haija timia ama haijaenda sawa kama ambavyo yeye angetamani.

Mimi binafsi hujihisi siku yangu imekamiliaka, imetimia , ama imefanikiwa pale ninapokuwa nimeingiza pesa, ela nyingi yaani nikipata mkwanja shilingi, nyingi ata kama ni asubuhi saa moja basi hujihisi kuwa siku yangu imetimia imekamilika yaani hujihisi kuwa siku hangu imefana sana.

Karibu na wewe utwambie ni jambo ,kitu gani ambacho hukamilisha siku yako au kutokumilisha siku yako!
 
Siku yangu itakalika endapo tu nitatimiza yale yote nilivyopanga kufanya siku husika.
 
Sasa kama ukipata milioni 3 asubuhi siku yako imeingia vipi kama mchana pengine ungeweza kuingiza pesa pia? Mimi siku inakamilika kama malengo yangu ya siku, au wiki yametimia siku hiyo.
 
Kupata moja moto moja baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…