Kipi kinakukera katika elimu ya tanzania?

Kipi kinakukera katika elimu ya tanzania?

Yesar

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
300
Reaction score
17
Dah me viongoz kuwafanya wasomi wetu ni watumwa
 
Mimi kinachonikera ni taasisi kama IFM,TIA&IAA kutoa degree mpaka masters wakati sio vyuo vikuu
 
Me chuo chenye madem wachache kama Nit
 
Big result kutoka kwa mulugo, mtu aliye feli kila hatua ya kielimu aliyopitia.
 
Big result kutoka kwa mulugo, mtu aliye feli kila hatua ya kielimu aliyopitia.

Kinachonikera mimi ni kokomoana kwamba umefeli form 4 kwa sababu say utoto ulikuwa mwingi ukaamua kujiendeleza kwa mfano ukaanza na certificate then diploma kwa lengo la kusoma elimu ya juu baadae.Kinachoudhi ni kwamba unapoenda kuomba kusoma degree badala waangalie diploma wanakurudisha nyuma na kuangalia cheti cha form 4 na kukwambia huna sifa.Jamani kama wanaangalia vyeti ili kupima uwezo wako wa kumudu kozi husika sasa hiyo diploma nimepataje kama sina uwezo? Hiki ndio kinachonikera na mpaka leo hii sijui motive ya hii kitu.
 
1. mfumo mzima wa usimamizi wa elimu kuanzia elimu ya Msingi, Sekondari na hata upande wa elimu ya Ufundi japo ktk ufundi, muhitimu anaweza kuganga njaa mtaani kwa viujira vya muda mfupi.

2. uchakachuaji wa elimu kuanzia ktk ubadilishaji wa Mitaala ya elimu, matokeo ya wahitimu, kuwa na walimu wasio na vigezo.

3. kuhusu elimu ya juu ni madudu mtupu, ktk mikopo, udahili wa wanachuo na mazingira ya upatatikanaji wa elimu bado ni duni sana kulingana na maisha ya kisasa yanayohitajika
 
Back
Top Bottom