Kipi kinakukera katika elimu ya tanzania?

Kipi kinakukera katika elimu ya tanzania?

Mtu kupimwa na mtihani mmoja eti NECTA so siku hiyo kama alikuwa na sress au uhaloo ndo imetoka hiyo hairudiwi tena.
 
Mi kinachonikera ni mfumo wa elimu mkaririsho yaani miaka sita unasoma maphysics hata kusema utaweza angalau kutengeneza malapa hakuna!!! Yaan inakera sana kuna br angu hajasoma lakn kutokana na utundu wake yeye pangaboi anatengeneza
 
Kulazimishwa kusoma DS (Development Studies) wakati mimi sio ngwini!
 
Big results now without a big salaries now is a big problem now
 
....walimu kujifanya miungu watu badala ya kuwa rafiki na wanafunzi.....
 
mleta mada labda ungeuliza KIPI KINAKUFURAHISHA katika elimu ya Tanzania?
Mimi binafsi nafurahishwa na uzuri wa rangi na design za vyeti wanavyopewa 'wahitimu' ...sahau kuhusu elimu nchi hii.
 
kinachonikera ni viongozi wetu kujifanya wamesoma sana, hivyo kuingilia kila idara wakati viongozi wenyewe ni mamburula!
 
Dah yn kumbe elimu yetu watu wanauchungu nayo dah
 
dah me na kingne shule za kata kufaulu m1
 
Back
Top Bottom