Dah me viongoz kuwafanya wasomi wetu ni watumwa
Big Results Now
Mimi kinachonikera ni taasisi kama IFM,TIA&IAA kutoa degree mpaka masters wakati sio vyuo vikuu
Me chuo chenye madem wachache kama Nit
Big result kutoka kwa mulugo, mtu aliye feli kila hatua ya kielimu aliyopitia.
Mimi kinachonikera ni taasisi kama IFM,TIA&IAA kutoa degree mpaka masters wakati sio vyuo vikuu
Kwa hiyo ina maana BSc, MBAs na PhDs za MIT bado zinakukera?Mimi kinachonikera ni taasisi kama IFM,TIA&IAA kutoa degree mpaka masters wakati sio vyuo vikuu