Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Asante kaka sema daah wametuvunja moyo sana
Usipokula msosi ndio dili litarudi au????.Acha tu mkuu yani hata msosi sina hamu nao
Vipi lakini si hela yako iko pale pale hata usipoipata leo utaipata kesho au ndo imetoka hiyoMood imenitoka baada ya kusubiri dili fulani la pesa ila dakika za mwisho mambo yakaenda tofauti
Vipi wewe mdau kipi kinakutoaga kwenye mood karibu tushee experience
Appetite sina kabisa huo mtonyo ulikuwa last card kwangu siku ya leoUsipokula msosi ndio dili litarudi au????.
LEarn not to attach kwenye hiz stuffs namna hiyo ili usiwe dissapointed to the fullest mambo yakienda ndivyo sivyo!!!
Leo kwan itabaki, nayo si itapita kuna kesho pia??Appetite sina kabisa huo mtonyo ulikuwa last card kwangu siku ya leo
Kwenda kukata gogo halafu likakwama njiani halianguki wala nini 😏😏😏Mood imenitoka baada ya kusubiri dili fulani la pesa ila dakika za mwisho mambo yakaenda tofauti
Vipi wewe mdau kipi kinakutoaga kwenye mood karibu tushee experience
Ukiwa hujaoa wala huwez kuwa hivyo mkuu. Ila kama una mke na watoto lazima hayo yakukute tu ,mwanakulitafuta mwana kulipata 😂😂. Hata sis wengine tumeshapita hukoMkuu kuna nyakati unapitia kama mwanaume mtu anakuona una furaha usoni ila kwa ndani unatiririka machozi wee acha tu
Hahaha aiseee nitajitahidiPole sana mkuu jitahidi uache kuchanganya mahindi yasiyokobolewa na kunde kwa pamoja huo msosi unaleta shida Sana kwenye kukata gogo
Plus dili kukataa mke unamuona kama kikaragosi hongera mkuu kwa kupita hope umepita salamaUkiwa hujaoa wala huwez kuwa hivyo mkuu. Ila kama una mke na watoto lazima hayo yakukute tu ,mwanakulitafuta mwana kulipata 😂😂. Hata sis wengine tumeshapita huko
Asante sana mkuuPole mkuu kama hujamtumia nauli request mwingine
Daah kwa Hali Kama hiyo lazima uishiwe poziSina uhakika kaka maana ni dili za kurent site mteja kazingua dk za mwisho sijui kama atarudi au nitapata mwingine siku za karibuni
Ni kweli mkuu kikubwa kupambanaDaah kwa Hali Kama hiyo lazima uishiwe pozi
Naielewa Hali unayopitia sema si unajuwa riziki mafungu na Huwa haivutwi kwa kamba pengine haikuwa riziki
Halafu sisi kimtaani mtaani Huwa tunaamini riziki Kama ipo ipo tu
Hahahaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pole sana mkuu jitahidi uache kuchanganya mahindi yasiyokobolewa na kunde kwa pamoja huo msosi unaleta shida Sana kwenye kukata gogo