Nahisi kuna sababu inayofanya hivyo, maana haiingii akilini kuwa karibu na mtu ambae anakuongezea ushindani ktk mahusiano, mi binafsi siwezi kuongozana na shoga wala kumuweka karibu naona ni km nuksi,
Lakini tukumbushane huyu shoga hata kama anaingiliwa bado sio mwanamke kwahiyo atakuwa na tabia za kiume km ifuatavyo ndo maana wanawake baadhi huwaweka karibu;
Wanaume kwenye urafiki hamnaga unafiki km wanawake
Mpo tayari kujitoa kwa hali na mali kumsaidia mwanamke hii hutokea mara kibao tu
Shoga anaona ni rahisi kupata wanaume akiwa karibu na ke sababu ke kutongozwa ni jambo la kawaida ktk jamii sasa katika wanaomtongoza ni rahisi vilevile mwanaume huyu shoga nae kupata anachotaka
Kwenye hili pia kuna ukuwadi kutafutiana mabwana
Wanaume sio wachoyo kwa jinsia ke mnajua kutoa hasa ulimwengu huu wa kupenda hela kwahiyo ke huyu akimsaidia kumpatia mabwana shoga, jambo la kugawana nusu kwa nusu ya fedha aliyopata kwenye ufirauni wake sio ishu, tofauti na ke mwenzie ni ngumu ke ajiuze apate pesa aje agawane na rafiki yake wa kike,
lakini wapo mashoga pesa kwao si tatizo akipata mtu wa kumfanya rafiki ni wazi atamfaidi tu