Kipi kinawavutia wanawake kuwaalika mashoga kwenye shughuli zenu?

Kipi kinawavutia wanawake kuwaalika mashoga kwenye shughuli zenu?

Wanawake wananufaika sana, lakini pia kila mmoja ananufaika na mwenzake (symbiotic relationship).

Masherehe yote lazima wanawake wawaalike mashoga kuchangamsha na kuleta oya oya.

Mauno ya paka-chongo yatakatwa pale, kwenye harusi na vigodoro, japo matako hawana lakini watayabinua ipasavyo.
Kuchangamsha bure bure tu,, wanachangamsha viuno na hela wanatoa shughuli za wanawake wa mjini tunazijua lengo kuu ni kupata pesa na madanga, kwenye pesa hapo ukiwaalika mashoga watakupa za kutosha, wanajiona kupendwa na kuthaminiwa lazima wahakikishe lengo lako limefanikiwa

Pia mwanaume hana aibu km mwanamke hiyo ni hulka kwa asili kwahiyo shoga haoni shida kumwaga hadharani yanayofanyika vyumbani,
 
Wanawake wananufaika sana, lakini pia kila mmoja ananufaika na mwenzake (symbiotic relationship).

Masherehe yote lazima wanawake wawaalike mashoga kuchangamsha na kuleta oya oya.

Mauno ya paka-chongo yatakatwa pale, kwenye harusi na vigodoro, japo matako hawana lakini watayabinua ipasavyo.
Nafikiri pia urafiki wao huchangiwa pia na

1.Upendo ulio baina yao , sio rahisi kwa wanawake kuwabagua na kuwaonyesha chuki za wazi kama ambavyo mimi ningefanya.

2.kupata msaada wa kihisia pale wanapokumbana na changamoto kutoka kwenye jamii zinazowazunguka.

3.Ile hali ya kuwa na mtazamo wa pamoja , hao jamaa huwa na hulka za kike na kupenda kufikiri kama wanawake ,hivyo huona njia bora nikuwa na marafiki wa kike.

4.Hao jamaa pia hujiweka karibu na wanawake ili kuendana na mitindo ya wanawake kimuonekano na hata kimjongeo wa viungo ,mitindo ya kuweka mikono wakati wa kutembea , kukata mauno kama ulivyo sema , kunyumbua midomo wakati wa kuongea na hata mitindo ya fashion za kimavazi .

Hizi ndio sababu hupelekea urafiki wao wakati mwingne.
 
Mimi kwa tabia sina marafiki, ama wa kiume ama wa kike. Sina hata mmoja.

Lakini naweza kuwaza kwamba wanawake (baadhi) wanawapenda mashoga kwa sababu wanafanana kimaslahi (interests???)

Wako na mambo yanayofanana kimahusiano, kitabia, kufanyiana urembo, kusukana, kupodoana nk. Kwahiyo ni kama ndege wenye manyoya yanayofanana kuruka pamoja.

Pili, mashoga wanachekesha na wana vituko ambavyo vinawafurahisha wanawake. Unajua wanawake wanapenda kuchekeshwa chekeshwa tu hovyo na kukenua kwa furaha muda wote.

Unakuta shoga anakata UNO LA SOTOJO huku kabinua tako sentimeta tano na nusu, lazima madem wadate na kukenua. Hapo ndo wanaanza kugandana na kuwa mashosti.

Wanawake wanapenda sana vituko, ukiwafurahisha wanakuganda.

Uno mama. Uno la sotojo na vituko vinginee shwaaaa....

Cc: min -me Poor Brain cocastic Depal
You sound the same as someone nimemmiss sana in here Mr. zillah
 
Utasikia huu utamaduni si wetu, lakini hawahawa kuna mama ndio wa kwanza kuwahusisha mashoga kwenye shughuli zao za kificho Hata kitchen party. Na utakuwa wasifu shoga furani anajua kukata au ndio mtoa darasa la mambo ya chumbani. Kwa kifupi Jamii Ina unafki mwingi.
 
Kapeace umesomea hivyo vitu? Maana unavyoelezea ki expert kabisa.
Hata sijasomea basi tu ukitafakari jamii tuliyomo ni km mambo yanaenda kinyume nyume, tabia za mwanaume na mwanamke zinajulikana ni rahisi kubashiri nini kinapelekea urafiki wa karibu kati ya shoga na mwanamke
 
Inasikitisha sana wanawake ndio mama zetu wanatubeba tumboni miezi 9 lakini kuna sikielewi na kinanishangaza sana kwenye shughuri za dada zetu imezuka tabia ya kualika mashoga na inaonekana mashoga na wanawake picha zinakwenda sana.

Sasa swali langu ni kitu gani kinachowavutia? Na je mtoto wako akiwa hivyo utafurahi kama unavyofurahia kwa mtoto wa mwanamke mwenzako?
Mashoga wanakuaga na urafiki wa kweli kwa wanawake ,,, Hawasinichiani kama wanawake kwa wanawake
 
Naona kabla ya kuwalaumu wanawake kwanza ,wanaume tungegoma kuwatumia hawa ,hiyo hukla yao ya kuwa hivyo ingekufa ni sawa na biashara kukosa wateja lazima ife tu.
Salute kwako wa kwetu...
 
Naona kabla ya kuwalaumu wanawake kwanza ,wanaume tungegoma kuwatumia hawa ,hiyo hukla yao ya kuwa hivyo ingekufa ni sawa na biashara kukosa wateja lazima ife tu.
hyo ngumu
mi nikifikiria kuna njemba zinashikwa zimebaka had kuku,mbuzi ng’ombe

Nachoka kushauri
 
Back
Top Bottom