Kipi kinawavutia wanawake kuwaalika mashoga kwenye shughuli zenu?

Wengine ni sababu ndo wasusi na makeup artist wao huko masaluni.

Don't you know asilimia kubwa ya mabibi harusi wanapambwa na mashoga, tena wanagombania kabosa kupambwa nao.

Kama kweli ni nuksi basi wanawake wengi huwa wanazibeba nuksi kuanzia hatua za mwanzo za harusi zao, pengine ndio sababu hazidumu pia.
 
Wengine ni kwa sababu ndio wasusi na makeup artist wao huko masaluni.

Don't you know asilimia kubwa ya mabibi harusi wanapambwa na mashoga, tena wanagombania kabosa kupambwa nao.

Kama kweli ni nuksi basi wanawake wengi huwa wanazibeba nuksi kuanzia hatua za mwanzo za harusi zao, pengine ndio sababu hazidumu pia.
 
Mambo yako haya bichwa lazima unae shosti yako wa kiume anaefanya hizi mambo tupe uzoefu wao kwanini mnawafanya marafiki?
Mimi kwa tabia sina marafiki, ama wa kiume ama wa kike. Sina hata mmoja.

Lakini naweza kuwaza kwamba wanawake (baadhi) wanawapenda mashoga kwa sababu wanafanana kimaslahi (interests???)

Wako na mambo yanayofanana kimahusiano, kitabia, kufanyiana urembo, kusukana, kupodoana nk. Kwahiyo ni kama ndege wenye manyoya yanayofanana kuruka pamoja.

Pili, mashoga wanachekesha na wana vituko ambavyo vinawafurahisha wanawake. Unajua wanawake wanapenda kuchekeshwa chekeshwa tu hovyo na kukenua kwa furaha muda wote.

Unakuta shoga anakata UNO LA SOTOJO huku kabinua tako sentimeta tano na nusu, lazima madem wadate na kukenua. Hapo ndo wanaanza kugandana na kuwa mashosti.

Wanawake wanapenda sana vituko, ukiwafurahisha wanakuganda.

Uno mama. Uno la sotojo na vituko vinginee shwaaaa....

Cc: min -me Poor Brain cocastic Depal
 
Umeongea kitaalamu mpaka komwe langu limedunda tiii tiii tiiiii kama utosi wa mtoto, juu chini, juu chini, juu chini, mbele nyuma, mbele nyuma tii tiii tii tiii

Cc: min -me
Nimesoma mpka mwisho kaongea kitaalamu sana na jambo linalopatana na akili , yawezekana kweli kuna namna hao wadada wana nufaika .
 
Mimi kwa tabia sina marafiki, ama wa kiume ama wa kike. Sina hata mmoja.

Lakini naweza kuwaza kwamba wanawake (baadhi) wanawapenda mashoga kwa sababu wanafanana kimaslahi (interests???)

Wako na mambo yanayofanana kimahusiano, kitabia, kufanyiana urembo, kusukana, kupodoana nk. Kwahiyo ni kama ndege wenye manyoya yanayofanana kuruka pamoja.

Pili, mashoga wanachekesha na wana vituko ambavyo vinawafurahisha wanawake. Unajua wanawake wanapenda kuchekeshwa chekeshwa tu hovyo na kukenua kwa furaha muda wote.

Unakuta shoga anakata UNO LA SOTOJO huku kabinua tako sentimeta tano na nusu, lazima madem wadate na kukenua. Hapo ndo wanaanza kugandana na kuwa mashosti.

Wanawake wanapenda sana vituko, ukiwafurahisha wanakuganda.

Uno mama. Uno la sotojo na vituko vinginee shwaaaa....

Cc: min -me Poor Brain cocastic Depal
Kuna wanavyotoa zaidi ya huko kuchekeshana,

Labda niongezee hapo kwa vile shoga ni mwanaume basi anajua nini mwanaume anataka katika mahusiano hivyo ni rahisi kwa mwanamke kupata mbinu na mafunzo ya kumfurahisha mwanaume nk

Pale kwenye unafiki hawana ile wivu wa kike unaweza mchukulia bwana na asimind kivile km mwanamke kwa mwanamke tifu lake tunalijua
 
Hiki chakula nikikikosa wallah nitajiona Sina bahati...!
 
Nimesoma mpka mwisho kaongea kitaalamu sana na jambo linalopatana na akili , yawezekana kweli kuna namna hao wadada wana nufaika .
Wanawake wananufaika sana, lakini pia kila mmoja ananufaika na mwenzake (symbiotic relationship).

Masherehe yote lazima wanawake wawaalike mashoga kuchangamsha na kuleta oya oya.

Mauno ya paka-chongo yatakatwa pale, kwenye harusi na vigodoro, japo matako hawana lakini watayabinua ipasavyo.
 
Leo lazima nikupigie ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna wanavyotoa zaidi ya huko kuchekeshana,

Labda niongezee hapo kwa vile shoga ni mwanaume basi anajua nini mwanaume anataka katika mahusiano hivyo ni rahisi kwa mwanamke kupata mbinu na mafunzo ya kumfurahisha mwanaume nk

Pale kwenye unafiki hawana ile wivu wa kike unaweza mchukulia bwana na asimind kivile km mwanamke kwa mwanamke tifu lake tunalijua
Ewaaaah ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
 
Back
Top Bottom