Mambo yako haya bichwa lazima unae shosti yako wa kiume anaefanya hizi mambo tupe uzoefu wao kwanini mnawafanya marafiki?Umeongea kitaalamu mpaka komwe langu limedunda tiii tiii tiiiii kama utosi wa mtoto, juu chini, juu chini, juu chini, mbele nyuma, mbele nyuma tii tiii tii tiii
Cc: min -me
Mimi kwa tabia sina marafiki, ama wa kiume ama wa kike. Sina hata mmoja.Mambo yako haya bichwa lazima unae shosti yako wa kiume anaefanya hizi mambo tupe uzoefu wao kwanini mnawafanya marafiki?
Nimesoma mpka mwisho kaongea kitaalamu sana na jambo linalopatana na akili , yawezekana kweli kuna namna hao wadada wana nufaika .Umeongea kitaalamu mpaka komwe langu limedunda tiii tiii tiiiii kama utosi wa mtoto, juu chini, juu chini, juu chini, mbele nyuma, mbele nyuma tii tiii tii tiii
Cc: min -me
Kuna wanavyotoa zaidi ya huko kuchekeshana,Mimi kwa tabia sina marafiki, ama wa kiume ama wa kike. Sina hata mmoja.
Lakini naweza kuwaza kwamba wanawake (baadhi) wanawapenda mashoga kwa sababu wanafanana kimaslahi (interests???)
Wako na mambo yanayofanana kimahusiano, kitabia, kufanyiana urembo, kusukana, kupodoana nk. Kwahiyo ni kama ndege wenye manyoya yanayofanana kuruka pamoja.
Pili, mashoga wanachekesha na wana vituko ambavyo vinawafurahisha wanawake. Unajua wanawake wanapenda kuchekeshwa chekeshwa tu hovyo na kukenua kwa furaha muda wote.
Unakuta shoga anakata UNO LA SOTOJO huku kabinua tako sentimeta tano na nusu, lazima madem wadate na kukenua. Hapo ndo wanaanza kugandana na kuwa mashosti.
Wanawake wanapenda sana vituko, ukiwafurahisha wanakuganda.
Uno mama. Uno la sotojo na vituko vinginee shwaaaa....
Cc: min -me Poor Brain cocastic Depal
Hiki chakula nikikikosa wallah nitajiona Sina bahati...!Kuna wanavyotoa zaidi ya huko kuchekeshana,
Labda niongezee hapo kwa vile shoga ni mwanaume basi anajua nini mwanaume anataka katika mahusiano hivyo ni rahisi kwa mwanamke kupata mbinu na mafunzo ya kumfurahisha mwanaume nk
Pale kwenye unafiki hawana ile wivu wa kike unaweza mchukulia bwana na asimind kivile km mwanamke kwa mwanamke tifu lake tunalijua
Wanawake wananufaika sana, lakini pia kila mmoja ananufaika na mwenzake (symbiotic relationship).Nimesoma mpka mwisho kaongea kitaalamu sana na jambo linalopatana na akili , yawezekana kweli kuna namna hao wadada wana nufaika .
BABA KINYEO upo? πHiki chakula nikikikosa wallah nitajiona Sina bahati...!
Leo lazima nikupigie πππWanawake wananufaika sana, lakini pia kila mmoja ananufaika na mwenzake (symbiotic relationship).
Masherehe yote lazima wanawake wawaalike mashoga kuchangamsha na kuleta oya oya.
Mauno ya paka-chongo yatakatwa pale, kwenye harusi na vigodoro, japo matako hawana lakini watayabinua ipasavyo.
Ewaaaah π₯°π₯°Kuna wanavyotoa zaidi ya huko kuchekeshana,
Labda niongezee hapo kwa vile shoga ni mwanaume basi anajua nini mwanaume anataka katika mahusiano hivyo ni rahisi kwa mwanamke kupata mbinu na mafunzo ya kumfurahisha mwanaume nk
Pale kwenye unafiki hawana ile wivu wa kike unaweza mchukulia bwana na asimind kivile km mwanamke kwa mwanamke tifu lake tunalijua
BABA KINYEO upo? π
Namba yangu ni ile ile inaishia na 67 ππLeo lazima nikupigie πππ
Sawa ila umenijuajeπππNamba yangu ni ile ile inaishia na 67 ππ
Hata ujifiche vipi ntakunasa tu π€£π€£π€£ Kaka yako EX_INTELLIGENCE umempeleka wapi?Umejuaje kama ni Mimi na nimebadilisha id...wewe spy haki ya mungu
ni mafunzo ya Cuba niliyoyapata mwaka 1976 πSawa ila umenijuajeπππ
Hata ujifiche vipi ntakunasa tu π€£π€£π€£ Kaka yako EX_INTELLIGENCE umempeleka wapi?