Weka na picha ya Kirigo Ng'arua mkuu tumwone, yule tv Presenter wa Citizen. Na wale Wakalenjin wafukuza upepo!!!!!!Watoto wa Kikenya tisha, acha weee!!! ila mimi huwa sibagui wanawake kama nyie, na ndio maana mko wadhaifu
Weka na picha ya Kirigo Ng'arua mkuu tumwone, yule tv Presenter wa Citizen. Na wale Wakalenjin wafukuza upepo!!!!!!
hahaha,trust me,maina hawezi kuleta picha za mademu wa kikalee hapa.zitasababisha thread ikose wachangiaji.labda kidogo picha ya emmy kosgey.
Aiseeee hata wanaume wao wabaki nao huko huko bahili kweliii
yaani demu wa Kibongo nikimuweka sawa kitandani anabaki kushukuru sana hadi nashangaa kwani mbona alikua kabisa amekosa shughuli ama vipi. Nilidhani ni mimi pekee yangu lakini hili nimelisikia toka kwa wanaume wengi Wakenya, kwamba baada ya kumsakata demu wa Kibongo kwa muda wa zaidi ya dakika kama 45 anabaki kushukuru sana.
Jameni muache chips mayai hizo, zinawaharibu wanaume.
Halafu wewe mrembo wa Kibongo naona hujakumbana na mizuka ya Kikenya, nakuhakikishia utapenda, hamna chips mayai, nipe tu anwani.
Nitaweka, kwani iko nini.... watoto wenye bidii na bado wazuri tu mbona.
my sis kachukua uraia wa kenya,ila kenya hamna warembo bhanaAcheni hizo bhaaasi.....inamaana nyie hamna ndugu wenye sura ngumu kama za hao wakenya?
Nyie familia/koo/kabila zenu wanawake wote ni warembo/wazuri wa sura na shepu?? Aaghaaa!!
mkuu hawa mabondia wa Nakuru?Bidii, elimu na urembo...
Kuna yule manzi askari aliyevaa uniform juu ya goti, hadi mtukufu Uhuru Kenyata alipata shock, naye ni mzuri. Mwenye ile picha atuwekee.
Nitaweka, kwani iko nini.... watoto wenye bidii na bado wazuri tu mbona.
mkuu hawa mabondia wa Nakuru?
Nisingetongoza ,hawa wetu japo wanapiga mizinga ndo wameshatuzoesha hivo hivo ,tunawapenda wabongo hivo hivo,Nyie endeleeni tu kutuchuna hivo hivo
Halafu wewe mrembo wa Kibongo naona hujakumbana na mizuka ya Kikenya, nakuhakikishia utapenda, hamna chips mayai, nipe tu anwani.
Mi ningehamia nao kenya bana...Habari za jioni wanajamiiforums wenzangu?!! Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikijiuliza hivi ingekuwaje kama wasichana wa kibongo (TZ) wote wangehamishiwa kwa jirani zetu Kenya na hao wasichana wa huko Kenya tungeletewa huku Bongo hivi ni kipi kingetokea?!!! Tungeweza kweli kuwa-handle wa Kenya kwa ukorofi wa kupiga hadi waume zao?!!!