Kipi kingetokea: Wasichana wote wa Bongo wahamie Kenya na wa Kenya waje kwetu Tanzania

Ningehamia KENYA kumfuata miss ...
 
Last edited by a moderator:
Huwa sipendi kunena hivi, lakini itanibidi: kwenye uzi huu, nimeona kuna "inferiority complex" Wabongo wana bahati walimpata Nyerere ambaye aliwafunza national pride, lakini individual pride hawana. Ninasikitika sana ninaposoma mtu kaandika kuwa mtu mweusi ni mtu wa sura mbaya. No wonder wasichana wakibongo hupenda kuchibua ngozi zao na kemikali zilizo na sumu wakifikiri huo ndio urembo. Itabidi mkomboe mawazo yenu kutokana na mental slavery.

Caucasian/Cushitic features si urembo; Urembo huwa kwenye mtu binafsi; urembo wa watu wengi ni urembo wa kuwa "brainwashed" na wazungu. Ni lazima tukkomboe mawazo yetu.
 
hahaaa dah
 
Ila jamani kusema ukweli mimi nimetembea nchi nyingi ila nikicompare wanawake wetu na wengine bado huwa alwayz nasema tanzania tuna wanawake jamani..wazuri kila kitu kwa hili may b tukimbizane na wanda lkn sio kenya na uganda
 
Aisee niko kwa hapa Nairobi yani madem wa huku wana sura ngumu kuliko hata za wanaume!
Najilaumu tu kwanini nilikuja fanya mishe zangu huku
 


Siyo tu ukorofi, mademu wa Kenya wengi wao wana sura ngumu. Ni wachache sana wanavutia, tena wale walio mpakani na Tanzania na kaskazini mwa Kenya bordering Somalia.
 
Madem wa kenya wapo charming sana na brain haichezi sana na si tegemezi. Wako poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…