Kipi kingetokea: Wasichana wote wa Bongo wahamie Kenya na wa Kenya waje kwetu Tanzania

Na mimi ningekua nishahamia Nakuru/Naivasha siku nyiiingi. Toka hio hio 2014 yako mkuu
 
Mtukome na hatutaki mazoea kuzoeana..
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
mkuu kenya hakuna warembo,yaani wamekaa sura ya goti
 
Wanaume wa Tz mnavyojidai kwa michepuko mngechukua mikwaju ya kutosha kila siku mtu anaamka na manundu nundu wanawake wa Kenya si wamchezo mchezo kwa ngumi hawajambo
 
Ila wanachukia Umariooo wetu. Kazi hatutaki tunaendekeza mapenzi
 
Wanaume wa Kitanzania mlivyo wavivu mngechezea kichapo kila siku kutoka kwa wanawake wa Kikenya..lol
Labda Wadarisalade,,ila sisi Wachuga ni kwerekweche,manzi haezi niletea wengeree namgeuza neti asee!!
 
Alaf mnajadilije kitu ambacho hakiwezi tokea asee??ila Kenya waje Avril,Huddah,Tanasha,Marya,Victoria Kimani,,,,Hivi nyie mnamjua Victoria Kimani Nick Minaj wa Africa?? Aje Kimani asee
 
Alaf mnajadilije kitu ambacho hakiwezi tokea asee??ila Kenya waje Avril,Huddah,Tanasha,Marya,Victoria Kimani,,,,Hivi nyie mnamjua Victoria Kimani Nick Minaj wa Africa?? Aje Kimani asee
Mkuu inaonesha kesho Tanzania ikasema arusha ihamie KE utafurahi sana au sio[emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…