Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]Mtukome na hatutaki mazoea kuzoeana..
mkuu kenya hakuna warembo,yaani wamekaa sura ya goti
[emoji87]mkuu kenya hakuna warembo,yaani wamekaa sura ya goti
Good
Kwaajili yako, ningepigana kupata uraia wa kenya, nahata km ingekua ngumu bado ningezamia kwa njia za panya .Jibu lingepatikana baada ya hicho kitendo kufanyika
Ila wanachukia Umariooo wetu. Kazi hatutaki tunaendekeza mapenzilawmaina78 na wakenya wengine pale nairobi wangechomana visu kwenye kumbi za starehe kugombania dada zetu wa kibongo.acha tu,watoto wa kike wa ktz warembo bhana.jioni ya week end moja tembelea maeneo ya mlimani city kusafisha macho.i bet you wont regret to be there.utapacha picha kamili ya urembo wa wasichana wa kitz.
halafu jambo la kustaajabisha,wasichana wa kikenya hupagawa sana vijana wa kibongo.wenyewe husema wanavutiwa sana kiswahili chetu,ucheshi na mapenzi matamu.
Kijijini uko utapataje pisi Kali?acha kuja kutuleta asee??,,Pisi Kali 254 bora Mombasa,Nairobee,NakuruNipo Ushago kibela na mtoto mkare kama hudda au zari bawseladies.
Labda Wadarisalade,,ila sisi Wachuga ni kwerekweche,manzi haezi niletea wengeree namgeuza neti asee!!Wanaume wa Kitanzania mlivyo wavivu mngechezea kichapo kila siku kutoka kwa wanawake wa Kikenya..lol
Mkuu inaonesha kesho Tanzania ikasema arusha ihamie KE utafurahi sana au sio[emoji28][emoji28]Alaf mnajadilije kitu ambacho hakiwezi tokea asee??ila Kenya waje Avril,Huddah,Tanasha,Marya,Victoria Kimani,,,,Hivi nyie mnamjua Victoria Kimani Nick Minaj wa Africa?? Aje Kimani asee
Hapana dingii,,Tz pamekaa maukali kinyama,sema nini yaani mamanzi wa KE waje2 hao wa5 niliowataja apo fas ya jula coz mamanzi wengi wa KE hawana maabuja.Mkuu inaonesha kesho Tanzania ikasema arusha ihamie KE utafurahi sana au sio[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma mzee baba [emoji23]Hapana dingii,,Tz pamekaa maukali kinyama,sema nini yaani mamanzi wa KE waje2 hao wa5 niliowataja apo fas ya jula coz mamanzi wengi wa KE hawana maabuja.