Kipi kipindi bora kati ya Friday night live na D'Wikend chat show

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Hivi kipindi gani ni kizuri zaidi kati ya friday night live kinachoendeshwa na Sam Misago na Ommy Crazy wa EATV au D'Wikend chat show kinachoongozwa na Soudy Brown na QWhiser wa Clouds tv??

Maana daah ikifika ijumaa nashindwa niangalie wapi maana kote napa kubali

1474309167089.png

1474309177640.jpg

Wewe je karata yako unaitupia wapi, FNL au D'Weekend chat show?
 
Da weekend wanaboa kale kastudio kaduchu kama choo cha uswazi bana yaani kamejibana mno naona
FNL sijaangalia kitambo ila napenda studio yao pana wanajiachia mpaka raha
 
Hivi kipindi gani ni kizuri zaidi kati ya friday night live kinachoendeshwa na Sam Misago na Ommy Crazy wa EATV au D'Wikend chat show kinachoongozwa na Soudy Brown na QWhiser wa Clouds tv??

Maana daah ikifika ijumaa nashindwa niangalie wapi maana kote napa kubali

View attachment 403260

View attachment 403261

Wewe je karata yako unaitupia wapi, FNL au D'Weekend chat show?
daa me natumia startimes ya 5000 kwa mwezi naangalia kwa sam misago
 
Kile cha clouds kinatakiwa kiitwe Diamond wknd chrt show.maana kira wiki ni ooho diamond kalala na mobeto,

ooho wema kalala madale,

oooh mama mond kamlisha zar na mkono wa kushoto

oooh wolper bado anatoka na mond halmo ni mpambe tuu.

Siku wasipomzunguzia diamondi nadhani hawakunikagi.
 
Hahaha kweli aisee hawanaga jipya.
 
Kile cha clouds kinatakiwa kiitwe Diamond wknd chrt show.maana kira wiki ni ooho diamond kalala na mobeto,

ooho wema kalala madale,

oooh mama mond kamlisha zar na mkono wa kushoto

oooh wolper bado anatoka na mond halmo ni mpambe tuu.

Siku wasipomzunguzia diamondi nadhani hawakunikagi.
Sio kweli labda wewe ni mfuatiliji wa mara moja moja sana
 
Back
Top Bottom